Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hip Hop wanaiogopa ka' marehemu, acha Mvumbo nilibebe bango/Utani ukipitiliza dharau huibuka, Mvumbo kaza acha kubabaika/
Nafurahi kuona hip hop inatangazwa jf, taarabu na bana pua ni zaidi ya kichefuchefu/
Hahahaha smart as usual
Hauna haja ya kutoka nduki, mkuu Injili ya Gheto/Kuna hawa maboya wanajikuta wanajua sana/
Wanachonga wakati hawajui wanachokifanya/
Wana maneno mengi kama kelele za spana/
Wanatuponda daily usiku na mchana/
Wakati wapo pia hawana cha maana wanachofanya/
Si wengine ni arsenal a.k.a maboya wa london/
Ushindi wao ni kupiga vyenga wanjani wao wanaita burudani/
Point tatu muhimu wahajui walizipata lini/
Kote wana suffer nyumbani na ugenini/
Ndukiiiii [emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna hawa maboya wanajikuta wanajua sana/
Wanachonga wakati hawajui wanachokifanya/
Wana maneno mengi kama kelele za spana/
Wanatuponda daily usiku na mchana/
Wakati wapo pia hawana cha maana wanachofanya/
Si wengine ni arsenal a.k.a maboya wa london/
Ushindi wao ni kupiga vyenga wanjani wao wanaita burudani/
Point tatu muhimu wahajui walizipata lini/
Kote wana suffer nyumbani na ugenini/
Ndukiiiii [emoji125][emoji125][emoji125]
Hip Hop wanaiogopa ka' marehemu, acha Mvumbo nilibebe bango/
Maana watoto wanaikimbia Game, ka' mwanamke mwenye chango/
Wanatangaza kila sehemu, haiuzi haina mpango/
Ona wanabana pua kama mademu, na bado wanatoa matango/
Daima Mvumbo sijaribiwi, kama Siasa za Magu/
Kaniki naweza kuipaka Kiwi, na ikawa nyeupe kama shabu/
Huu ni zaidi ya moto, ambao unangoja sababu/
Ukishindwa kuniamkia mtoto, basi nipe salamu ya Kiarabu/
Doh ndo nini mwanetu ebu jaribu kufunguka, kama kuna mtu kakugasi patachimbika/Doh!