Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mvumbo,
Mademu wakali na pesa Bado ni ngumu, kama hutojali shika jero mrembo unichumu/
Sina hela ya baga mrembo usinichune, kukosa pesa ya kukuonga ndiyo sababu unitukane?/
Mfukoni nimechacha ila usiende kwa mwingine, ela ya mboga sina ngoja nikadake senene/
usishoboke na mataita wapenda anasa kisa pochi nene, wengi wao wanangoma chunga usije nasa ukapata umeme/
Mapenzi kitu gani yamejaa nuksi, demu kaniacha eti kwa ofa ya chips/
Nadhani hii ndo sababu mpaka wanakufa kwa risasi, nami najivika ukauzu mithiri ya gadafi/