Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Moja mbili tatu, nateleza kama chatu/
Akili yangu chafu, kama soli ya kiatu/
Japo nimevamia kwa watu, ila najaribu kama upatu/
Wana hongereni sana maana kuchana sio lelemama.
Hahaha
Hiyo verse nilichana nikiwa darasa la tatu, ilibamba miaka hiyo ila kwasasa si kitu/
Kuchana kunahitaji akili walinena wabantu, nami ndo jaji nawahukumu kwa mistari kuntu/
Hip hop tamu zaidi ya penzi la wema sepetu, mi ndio chanzo mpaka mpoto kutembea peku/