Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ghetto unacheza ngoma ya Baba lao alafu humu unajiita mgumu??Bi*tch as hoe
Hii nayo ni freestyle, au ni freeshari/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghetto unacheza ngoma ya Baba lao alafu humu unajiita mgumu??Bi*tch as hoe
Ngareroo, umevamia chaka la wahuni acha upigwe katerero/Naskia Mvumbo ni supu. maana una sura ya Mbuzi../
We ni kuku bado kinda sikwangui v*zi../
Lot infront..We assasin nigga, ukipotezwa usianze kidenzi kulalamika
Mistari kwenzi ndo naipanga, vitu konki utavipata ondoa mashaka
Toka Long fakes nawakaanga, wachawi wakasanda miiko wakaipa taraka
Mtu mmoja ila kijeshi nishajipanga, nataka kuwapanda kipigo bila jezi mabakabaka
Mvumbo jipange kwa matanga, me ndio idiot ntakufanya kuteseka.
Scarz duanz kwenye tungo..Me ndo Mc mkali..//Ngareroo, umevamia chaka la wahuni acha upigwe katerero/
Wakichana kiswahili wanasikika kama kichina, kiingereza ndo unaweza kusema aisee zimaLot infront..
Never force matter I dont...
I gotta Fcuk dese bitch whu wanna rend ma bond...
Utanifaaa dadaaaNgumu kumezaa
Scarz duanz kwenye tungo..Me ndo Mc mkali..//
Kuhusu upishi wa vina..Mwamba me ni mchuzi kwenye wali../
Me mmaasai aka njeree sio mchaga..//Hahahaha
Hakuna mc mchaga anayetokea arusha, labda wauza ganja na mapusha/
Hiyo sio hiphop kurap unajipa upumavu../
Chalii kuwa mwelevu..//
Au jipe shavu..//
Mistari ganja nawasha naichoma inabaki jivu..//
Reply chap dingii acha uvivu..//
Jicho?may be kisogo../Tabia za ki mamsapu, huwa hazina kificho/
Wengi wame Rap, ila kwa Mvumbo unatoa jicho/
Hiyo sio hiphop kurap unajipa upumavu../
Chalii kuwa mwelevu..//
Au jipe shavu..//
Mistari ganja nawasha naichoma inabaki jivu..//
Reply chap dingii acha uvivu..//
Panua paja fikra,,Nichomeke mawazo...Jifunze kuandika kiufasaha ndio uje ukosoe, hii mistari imeshika faya isubiri kwanza ipoe/
Naongea na wewe unayejiita chalii, nayekufananisha na binti wa kihindi chakolii/
Jicho?may be kisogo../
Ntakuzamishia muhogo../
We dogo mtumia mikorogo../
ili upendwe bongo..//
Hahah una verses za uwomgo..//
Usijesema unaonewa, maana hujui kutunga/Jicho?may be kisogo../
Ntakuzamishia muhogo../
We dogo mtumia mikorogo../
ili upendwe bongo..//
Hahah una verses za uwomgo..//
Yeroo suvai apa utakaa..Shiee Tabalai..//Hey we ni masai unayesalimia kwa kusema yello?, sa kivipi umpe hai demu halafu mfukoni huna hata jelo?/
Mnazingua mjini mshakua kero, na ndio maana kesi ndogo tu mnasekwa sello/
😀😀😁Panua paja fikra,,Nichomeke mawazo...
Biti nalitoa bikra,,verse zako hazina ujazo..//
Ukiwa unapambana na hali yako../Usijesema unaonewa, maana hujui kutunga/
Kama umefuata hewa, basi we punga/
Na kama kibendi umepewa, mi' siyo mkunga/
Unachopaswa kuelewa, hizi level we chunga/
Umevamia Gheto, na chupi hujavaa/
Wahuni mambo mpeto, niachieni nina njaa/
Kila siku nyeto, leo ngoja nipate raha/
Na kiunoni nina beto, siogopi wake jamaa/
Yeroo suvai apa utakaa..Shiee Tabalai..//
Mwanaume wa Dar..Lowassa mpe ikulu aongoze wamaasai..//
Sikupi chochote nakuona ndezi../
Sugu nampa Mic bungeni awe mchochezi../
Msukuma nyavu avue samaki wa mchuzi..//