Michano/Hiphop/Freestyle

Michano/Hiphop/Freestyle

í ½í¸í ½í¸í ½í¸

Binti wa kimasai kweli unajua kuchamba, nafurahi kua we si tapeli haujui kudanga/

Wewe sio mbegu wala farasi,,na ninauwezo wa kukupanda, wenye wivu na wanaotughasi ipo siku watasanda/
Sina time ya kujibizana na chalii anaekojoa kachuchumaa..//
Me mdo yule mentor wa Kendrick Lamar..//
Huyu ree ni mjinga..anajiona star../
Nakukosoa unapinga..uku una njaa..//
Nko apa fas duas../
Me ni baba lao kaa dangote../
We kwanza wangu mfuasi../
Nakuona kaa maua sama tu wa iokote../
 
Ukiwa unapambana na jali yako../
Angalia usitingishe hali ya mwenzako..//
Una flow za kichoko..//
Mc fake huna maajabu huwezi battle..//
Mvumbo sina sumaku, mchele mchele umenasaje?/
Acha ushakunaku, sema bei mali nalipiaje/
Nitacheza kama Lukaku, au mtoto unasemaje/
Nishavuta tumbaku, sasa mzigo nauachaje/
Acha ninyooshe goti, leo niwe mwepesi/
Jiachie yote yako shost, vaa bikini siyo pensi/
Nazama ile ki ghost, japo kwa God ni kesi/
Mvumbo ni kama Roboti, siogopi kinyesi/
 
Sina time ya kujibizana na chalii anaekojoa kachuchumaa..//
Me mdo yule mentor wa Kendrick Lamar..//
Huyu ree ni mjinga..anajiona star../
Nakukosoa unapinga..uku una njaa..//
Nko apa fas duas../
Me ni baba lao kaa dangote../
We kwanza wangu mfuasi../
Nakuona kaa maua sama tu wa iokote../
Maisha kupigana tafu, unapochuma mchicha mi ntapakua kisamfu/

Mwanangu wa chuga hizi mbio ndefu utamia mapafu, situmii hirizi kamuulize mc rafu/
 
Mvumbo sina sumaku, mchele mchele umenasaje?/
Acha ushakunaku, sema bei mali nalipiaje/
Nitacheza kama Lukaku, au mtoto unasemaje/
Nishavuta tumbaku, sasa mzigo nauachaje/
Acha ninyooshe goti, leo niwe mwepesi/
Jiachie yote yako shost, vaa bikini siyo pensi/
Nazama ile ki ghost, japo kwa God ni kesi/
Mvumbo ni kama Roboti, siogopi kinyesi/
Kroooo..!!Kroooo..!!Zzzzzzzz
 
Maisha kupigana tafu, unapochuma mchicha mi ntapakua kisamfu/

Mwanangu wa chuga hizi mbio ndefu utamia mapafu, situmii hirizi kamuulize mc rafu/
Bablai kroooo!!Kroooo!!Zzzzzzz ntakudaba morrow Buddah
 
Sasa nawasha Mshumaa, kote wanione Baba lao/
Wanaokata Uno kwa njaa, muhuni mi' ndio dawa yao/
Kichwani mistari imejaa, haizuiliki hata kwa ngao/
Mgumu sitaki u star, japo unanililia niwe nao/
Wanapagawa/ nawanawa/ sizuiliki kama shah*wa/
Wanakata mbawa/ ila bado nipo sawa/ hawa watauwawa/
Hili chaka la tembo, mbwa nawaonea huruma/
Huku hakuna urembo, ukitafunwa ni suna/
 
Kama ni muigizaji..basi ni Mwijaku na wenzake../
Kama ni mwimbaji..labda kidogo mbosso../
Ila kama ni mchezaji..Basi tufanye juma nyosso../
Kama ni mpiganaji..tufanye jetlee../
wewe ni kichwa maji..Tena maji ya betrii../
We mtoro..Umetoroka..bila ata kuoga..af koro..umekoroga..
 
Maisha kupigana tafu, unapochuma mchicha mi ntapakua kisamfu/

Mwanangu wa chuga hizi mbio ndefu utamia mapafu, situmii hirizi kamuulize mc rafu/
Scarz umehitimu rap ila cheti huna..Segerea keko..//
We nuna..Ila manzi ako anachekelea ghetto..//
Hauna punch kwenye game..Unatembelea upepo..//
Unaniitaga shemu..Dada ako nnavomselelekea..//
Kama kipaji hapa ndo mahala pake..//
 
Namshukuru Mungu nipo hai..||
Nazisaka zilipo Bablai..||
Zangu sikupi..||
Sio boxer ma*u chupi..||
Eyoo nikianza kurap sizingui..||
Chalii ya ARA kushabu sizijui..||
Naipenda zaburi..||
Narap new skuli hadi Old skuli..||
 
Ebu tuliza wengeree../
Ntakufekechee../
Me ni basha we ni gasho afu bado ree../
Nakuacha mbali cheki gravity uisogelee../
Chekede,fekeche,yechuleee
 
Mmeniachia mtu mmoko cheki nnavokichakaza..|
Mna tungo milegezo asa me nazikaza..|
Sio Mvumbo wala Scars..|
Wote wako lege lege kaa Samatta hayupo stars..|
Mnajiona mko salama akati mko nusu uchi mmevaa Gucci..Nyie matahira..\\
Mvumbo kainama kavaa Versace..Alaf me nna Fila..\\
 
Nilitamani nipate mshindani, thread ipate kunoga/
Ila kutazama nani anae ghani, aaah! Kumbe ni shoga/
Sasa nikikuandama dimbani, si nitayakoroga/
Watu wote watadhani, kwamba mi nakula kiboga/
 
Kimya kina mshindo
Nilitamani nipate mshindani, thread ipate kunoga/
Ila kutazama nani anae ghani, aaah! Kumbe ni shoga/
Sasa nikikuandama dimbani, si nitayakoroga/
Watu wote watadhani, kwamba mi nakula kiboga/
Mvumbo usitumie mafumbo unapotoa tungo, mtaani skendo zinavuma ngareroo kapigwa mtungo/
Ngareroo tuliza wenge acha kogo, mvumbo hakufikishi nije na vumbi la kongo?
 
Nilitamani nipate mshindani, thread ipate kunoga/
Ila kutazama nani anae ghani, aaah! Kumbe ni shoga/
Sasa nikikuandama dimbani, si nitayakoroga/
Watu wote watadhani, kwamba mi nakula kiboga/
Wewe ni Mc wa wapi..Mwenye punch za kiwhack..||
Nna flow pipi..ila hatari kaa bunduki..||
Mtoto wa DZM..Mkienda Gym me naenda kulala..||
Hamuezi nirushia steam..Mnaelewa me ni msala..||
 
Kimya kina mshindo

Mvumbo usitumie mafumbo unapotoa tungo, mtaani skendo zinavuma ngareroo kapigwa mtungo/
Ngareroo tuliza wenge acha kogo, mvumbo hakufikishi nije na vumbi la kongo?
Mbaya shada..We soro vunga..//
Kwenye vanga..Sikosi panga..//
Sio udi najifukiza cha Arusha..//
Unae nichawia sirogeki we kausha..//
 
Nafikiria ni vipi ntatoka.../
Nyie mnafikiria ni vipi mtaanza kushoboka../
Hamna chedee kiaje mtawaza kumoka../
A Town na Hip hop nazipenda sifikirii kuondoka../
 
Mvumbo ni Sun naangaza kwa Son wapate nuru kama mwezi/
Wanabugi ramani kujaribu kughani ninapo kuwepo mnyamwezi/
Nawachambua ka' kushabu singoji sababu kama Lodi lofa/
Wanaoandika Taarabu waje na kitabu rhymes nitawapa ofa/
Watoto wanajifanya wanajua ku test/ hawa ni Guest/ wanapaswa kuketi/ niwafundishe beti/ wasivimbishe chest/ Mvumbo ndiyo Fast/ kama Captain full chaja/
Juu kama Rocket/ hata wakibana nyeti/ bado wanabeti/ na wakifunga gate/ natimba kama Cat/ aliyeona paja/
La kuku/ jishuku/ nikufiche huku/ kwenye game ya kiutu/
Hata usipo ni feel/ mi sio Mlokole/ dhambi si mzigo/
Nimesha jisajili/ alama ya kidole/ njoo unipe Tigo/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom