Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,489
- 12,137
- Thread starter
- #101
Mwanangu Mchumia tumbo/Ok ok twende pamoja/
naona wengine wanazidi kuleta vioja/
mimi ndo mwenye ngumu kali zisizochuja/njaza moto kama fast charger/
nipo hewani kama pikipiki baja/
Sina mengi wazee asanteni kwa kuja.
hii sanaa ina mafumbo/
wengi watakupiga vikumbo/
ila usiwajibu utumbo/ Mvumbo/