Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo vizuri. Mashairi yana vina na flow ya story ni nzuri na ina fundisho piaHapana ni utunzi wangu wa hapa hapa tu, ila upo wimbo unaoitwa Achia Jala wa Dizasta Vina ipo audio YouTube, ndio maana huu nikauita Remix.
Uandishi mzuri, uchawi huwa ni flowAChia jala 2
Majibu;
Unajisifu una gundu na bado unafanya ukora/ unanifuata macho mekundu ili kunipora/
Piga risasi usoni mwangu na sikuitii ving'ora/ nishayachoka maisha yangu hivyo kupumzika ni bora/
Unapagawa na hizi noti unadhani ninastarehe/
Huliwezi hili koti hata nikisema ulipokee/
Wewe una marafiki/ wanaokujali/ una amani moyoni/
Mimi wote masnitch/ kisa hizi mali, nawindwa mpaka ndotoni/
Kisa mkuu wa Idara/ hiki cheo nimetoa ndugu kafara/ mke sitakiwi kumlala/ shetani tushafunga ndoa ya mitaala/
Kariakoo nina biashara, Temeke Kino na Ilala, ukiona msafara/ wangu kwenye barabara/ unaweza ukajiona fala/
Ila hizi pesa kwangu ni chungu zaidi ya shubiri/ sisaidii walio wangu hata dawa wakisubiri/ alikufa baba yangu kwa kukosa tiba Muhimbili, masharti kwangu napaswa kuyakabili/
Ili niishi/ vipi unapata ushawishi/ unazitaka kwa ubishi/ na kukomaa kama Shishi?/ Ukichukua hazikubakishi/ hivyo tuliza dishi/
Haya ma Range na majumba/ yasifanye u change mwanayumba/ omba Mwenyezi akupe Vumba/ halali ule enzi na sio kubumba/
Nayatamani maisha yako/ unayatamani yangu kisa vitita/
Sio kila aliye mbele yako/ anafurahi kukupita/
Njoo tupige batoUandishi mzuri, uchawi huwa ni flow
Nikipata time ntakuja utachagua topic then we can do a battle mistari iwe migumu meusi
Msisahau kuniita hiyo siku.Njoo tupige bato
Fungua dimba Ka unawezaMsisahau kuniita hiyo siku.
Mzee unataka battle, Utaiweza hii mikatoNimeona leo humu mtu ameweka post anasema mdororo na anguko la hiphop Tz. It's not true hip-hop ni life
Mwenye muda tupange siku twende kwa battle
Sitaki bato, nataka unipe mnatoMzee unataka battle, Utaiweza hii mikato
Hizi si verse za kitoto, wala haziitaji minatoo.
Nikiwa kulia kaa kushoto, Hiphop kiti cha moto.
Tuendelee..🤣
Wacha nitoke job kwanza, dawa yako nmeitunza.Sitaki bato, nataka unipe mnato
Panda kwa kitanda, minyege ishapanda
Kiunoni hiyo mishanga, utanikom huo msambwanda
Zima taa juu ya d*du kaa, sipendi mwanga
Usimaindi lakini ni michano tuWacha nitoke job kwanza, dawa yako nmeitunza.
Sema unajua sana damu yangu...Usimaindi lakini ni michano tu
Ukiwa tayari tuendelee😂
Jipange weka twende😂Sema unajua sana damu yangu...
Mi si mzuri wa rap, ila tu naipenda sanaaaaaa nipe darasa la uandishi.Jipange weka twende😂
Uandishi unazingatia vitu vingi... Punchlines, vina, ujumbe, na misemoMi si mzuri wa rap, ila tu naipenda sanaaaaaa nipe darasa la uandishi.
Punchlines ndo nini haswa mkuu nipe na mifano kwa verse maarufu za wasanii ili nielewe vzur.Uandishi unazingatia vitu vingi... Punchlines, vina, ujumbe, na misemo
Mifano ni kama hii...Punchlines ndo nini haswa mkuu nipe na mifano kwa verse maarufu za wasanii ili nielewe vzur.