Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku hakuna maskini kila mtu katusua, we kama wauswazi wenzako wakishua.../Song; HIYO NI CHAI
Chorus;
Jf umekuwa uwanja wa kujidai
Nina majumba na mandinga
Jua hiyo ni chai
Wote matajiri hakuna Mmachinga
Jua hiyo ni chai
Toyota ni chinja chinja nina Benz
Wanajimwambafai
Ukimkuta anaishi kindezi
Hajanywa hata chai
Verse 1
Wengine wanapenda bisha bisha kienyeji/
Hawana fact wala point na wapo Age/
Wengine eti na Passo wana aleji/
Kumbe wanaandika wakiwa kwa shemeji/
Juu ya sofa/ akisubiri dada apewe ofa/
Ili na yeye aondokane na ulofa/
Avae moka/ wengine wanapenda matusi/
Wengine ni Mamajusi/ mademu wengine nuksi/ wameweka Dp za Warusi/
Ukadhani hugusi/ kumbe ni akina Tausi/
Ila poa si wanakwepa majasusi/
Ila mbaya ni kuigiza/ humu unaabudu Jesus/ mtaani unaabudu yai viza/
Upo ubishi wa Siasa na kabumbu/
Zipo anasa za akina KHUMBU/
Warembo wa kisasa wenye nundu/
Wote eti wamepata life la kizungu/
Tamaa usijekata kisa huna fungu/
Hiyo ni chai matata tena ni Mbupu/
View attachment 1708154
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hiyo ni chaiii. Aminiaa kabisaa [emoji2935]Song; HIYO NI CHAI
Chorus;
Jf umekuwa uwanja wa kujidai
Nina majumba na mandinga
Jua hiyo ni chai
Wote matajiri hakuna Mmachinga
Jua hiyo ni chai
Toyota ni chinja chinja nina Benz
Wanajimwambafai
Ukimkuta anaishi kindezi
Hajanywa hata chai
Verse 1
Wengine wanapenda bisha bisha kienyeji/
Hawana fact wala point na wapo Age/
Wengine eti na Passo wana aleji/
Kumbe wanaandika wakiwa kwa shemeji/
Juu ya sofa/ akisubiri dada apewe ofa/
Ili na yeye aondokane na ulofa/
Avae moka/ wengine wanapenda matusi/
Wengine ni Mamajusi/ mademu wengine nuksi/ wameweka Dp za Warusi/
Ukadhani hugusi/ kumbe ni akina Tausi/
Ila poa si wanakwepa majasusi/
Ila mbaya ni kuigiza/ humu unaabudu Jesus/ mtaani unaabudu yai viza/
Upo ubishi wa Siasa na kabumbu/
Zipo anasa za akina KHUMBU/
Warembo wa kisasa wenye nundu/
Wote eti wamepata life la kizungu/
Tamaa usijekata kisa huna fungu/
Hiyo ni chai matata tena ni Mbupu/
View attachment 1708154
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hatari sana hii chai.Song; HIYO NI CHAI
Chorus;
Jf umekuwa uwanja wa kujidai
Nina majumba na mandinga
Jua hiyo ni chai
Wote matajiri hakuna Mmachinga
Jua hiyo ni chai
Toyota ni chinja chinja nina Benz
Wanajimwambafai
Ukimkuta anaishi kindezi
Hajanywa hata chai
Verse 1
Wengine wanapenda bisha bisha kienyeji/
Hawana fact wala point na wapo Age/
Wengine eti na Passo wana aleji/
Kumbe wanaandika wakiwa kwa shemeji/
Juu ya sofa/ akisubiri dada apewe ofa/
Ili na yeye aondokane na ulofa/
Avae moka/ wengine wanapenda matusi/
Wengine ni Mamajusi/ mademu wengine nuksi/ wameweka Dp za Warusi/
Ukadhani hugusi/ kumbe ni akina Tausi/
Ila poa si wanakwepa majasusi/
Ila mbaya ni kuigiza/ humu unaabudu Jesus/ mtaani unaabudu yai viza/
Upo ubishi wa Siasa na kabumbu/
Zipo anasa za akina KHUMBU/
Warembo wa kisasa wenye nundu/
Wote eti wamepata life la kizungu/
Tamaa usijekata kisa huna fungu/
Hiyo ni chai matata tena ni Mbupu/
View attachment 1708154
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huku hakuna maskini kila mtu katusua, we kama wauswazi wenzako wakishua.../
Milo yao ni kwa hotel za kifahari kama hujajua, ukiwa huku ni mwiko kutaja ashua.../
Mademu vimbaumbau huku wamekosa soko, hupewi namba kama humiliki mkoko../
wengi wanaigiza kuficha misoto, hali yetu ya kimaisha imefanya matatizo tuyape kisogo.../
ukiwa real utakosa ushawishi, hutafuatiliwa michango yako hata kama ina teach.../
Njoo uone jf yenye wanachama wenye utashi, kipimo chao cha elimu ni kujua english.../
Neema,Neema...
Neema ukija ghetto usije kama Vanessa
Alienipa mchecheto na kuacha nimedisa
Nkaishia kupiga nyeto huku nakodolea picha
Alinikera kama meko yule jiwe mpenda sifa
Tena Neema ukinipa usinipe ka resituta
Kiuno kata katika na usichoke kuzungusha
Usiige ya ughaibuni kikubwa punguza pupa
Sitaki kwa mparange siwazagi kuruka ukuta
Tafadhali tena neema usije fanya ya rejina
Alipenda kugawa jicho wakapasua retina
Jikubali umbo lako usitamani ya mchina
Tusije kua na mgogoro ka zena na betina.!
Neema,
Nilikupenda ulikua mwema, uzuri wako ulikua gumzo kila mtu alisema.../
Nikakuweka moyoni ukawa chanda chema, ukaahidi kua nami na kuwaacha manyangema.../
Tumetoka mbali halafu mwisho umenitema, Ziko wapi ahadi zako kama sio sinema?../
Naskia umepata kibopa tabata, ana mpunga kila utakacho muomba unapata.../
Kitandani ulikua mvivu sikukuponda nkakuacha, naskia huko unakatika nyonga matata.../
Umekua mtundu hadi bomba unalamba, umemkosha ngosha asione noma mkwanja kukata.../
Wakati pesa imeondoka utakurejea utashi, utagundua ulinusa moshi ukihisi marashi.../
Utavuna maradhi, haijalishi unauzuri gani ila utashuka hadhi.../
Pesa ya kodi ikikata hautakua na hifadhi, najua utapagawa ila usije kuniomba radhi.../
Neema
Mpaka napanga hivi vina, nasikia umechina, unatanga tanga/Neema
Nilikupenda, nikakulinda, nikakutunza nikakujali/
Nikaamini wewe ni mwenzangu wa safari/
Nikajipa hamasa ya kuzichanga dorali/
Kumbe mwenzangu hukunipenda, na umenitupa kikatili/
Sasa hivi nakuona unazurura tu kwa mtaa/
Sometimes unashinda na kulala baa/
Na wahuni wamegongesha besela/
Na sasa umegeuka kuwa demu wa masela/
Neema yaani unatoa papuchi ka’ sadaka/
Chini ya miti, hadi kwenye vichaka/
Wanaopanda dau hadi nyuma unawapa/
Neema unafukuliwa mtaro, damn, what the fvck/
OyooooooohNeema,
Nilikupenda ulikua mwema, uzuri wako ulikua gumzo kila mtu alisema.../
Nikakuweka moyoni ukawa chanda chema, ukaahidi kua nami na kuwaacha manyangema.../
Tumetoka mbali halafu mwisho umenitema, Ziko wapi ahadi zako kama sio sinema?../
Naskia umepata kibopa tabata, ana mpunga kila utakacho muomba unapata.../
Kitandani ulikua mvivu sikukuponda nkakuacha, naskia huko unakatika nyonga matata.../
Umekua mtundu hadi bomba unalamba, umemkosha ngosha asione noma mkwanja kukata.../
Wakati pesa imeondoka utakurejea utashi, utagundua ulinusa moshi ukidhani marashi.../
Utavuna maradhi, haijalishi unauzuri gani ila utashuka hadhi.../
Pesa ya kodi ikikata utakosa hifadhi, najua utapagawa ila usije kuniomba radhi.../
Neema