AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Nimekupata mkuu. Yani ni verse nzito zilizobeba tafakuri kubwa kuliko zingine. Si ndiyo?Mifano ni kama hii...
ukiwa na nyundo mkononi, ni rahisi kupigilia msumari
Fid Q
Mi ni jua la utosini sizuiliki Kwa miwani
Stamina
Siui mende Kwa nyundo maana nitaumia Mimi
Professor Jay
Kwenye mtihani wa Maisha uwe na max za kuvutia
One
Bora kurogwa kuliko kukosa Uhuru
Langa ( huu mstari niliuelewa nilipolala sentro)
Nimeapishwa Kwa damu iliyomwagika Soweto, ndo maana unaponisikia nanukia harufu ya ghetto
Nikki wa pili