Michano ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke

Michano ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.

Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
 
pesaa..mbesa..doar...ilyongo..mapene..money...mavumba..mpunga
 
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.
Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
 
Kilainishi ni mkwanja a.k.a ngawira!Kama huna mkwanja jifungie tu gheto kama mimi.
 
Wazazi wako umewapatia hasara ya karne as if ndiyo kazi waliyokusomeshea. Unaimaskinisha na kuidhalilisha nchi nzuri ya Tanzania. Hapa bado sijamtaja aliyekuumba.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
uroda gharama mkuu
hujaingia gharama anapita kweupe na mtemi
 
Back
Top Bottom