Michano ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke

Michano ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke

Ni kwel pesa ndio kila kitu lkn jaribu pia kuchek muonekano wako girls yoyote ukimwita anachochek first ni appearance yko ulivovaa sura yko simu yko viatu vyako etc kisha akija jaribu kuwa straight on point ukiishiwa mistar weka bridge omba namba akijikologa mwaga upupu sifia akileta ujot mwambie umeona bpra umueleze tu apo apo umempenda we apo ushamalizq kaz yko cheza na feedback
Sawa mkuu
 
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.
Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
Huenda ikawa ana mwenyewe using,ang,anie sana utakuja tatuliwa marinda
 
Haujui wimbo ulio bora dhahiri, haujui ushairi au mstari ujaukariri..

Haujui giza haujui baridi, au mbu walionighasi wakati nakusubiri...

Haujui kupenda moyo wako hewa, wote tumejifunza ila mwenzangu umechelewa...

Kaa kimya hauna hata haki ya kusema, upuuzi unaofanya sio ushujaa ni kilema...

Natamani upate ki mister pengine, kikuumize kama ulivyo waumiza wengine...

Unaumwa mama hata kwa matibabu hautapona, sio dhahabu naijua dhahabu nikiiona...

Kuvimba kwako hakutavunja miamba, ipo siku utajua kulinga si afya...

Utatafuta upendo na utazikuta siasa, utaelewa inavyouma pindi unapofanywa wa ziada...

Kutojibu jumbe za simu sijui ndio kula njama, kudanganya mahali ulipo umeshavuka zama...

Kwa huo ushenzi ni zamani upo nyuma mama, unapodhani ni ujanja nakuonea huruma sana...

Eti queen, queen hawezi choropoa mimba, ungekufa kwa ngoma kinacho kuokoa kinga...

Unajirusha sana itakukatikia kamba, unazubaa na uzee utakukutia njia panda...

Unanuka sana unanitia kichefu chefu, nimepoteza muda umenirudisha nyuma step...

Tunda huishia tumboni likianzia kwenye mbugu, mama nimeshindwa sasa nawaachia walimwengu....


Kutokujua kupenda si ujanja ni MLEMAVU

Tiltle ya ilo goma mkuu nimetokea kuyaelewa ayo ma punch
 
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.

Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
1. Dada habari yako, hujambo?
2. Naitwa 50thebe mwenzangu unaitwa nani?
3. (I) Hivi jimboni kwenu uchaguzi ushafanyika?
(ii) Maana ningependa kulipia gharama zote za uchaguzi ikiwamo Kampeni, vipeperushi, vitenge, t-shirt na hata ubwabwa. Si unajuta tena uchaguzi bila ubeche haiwezekani!

Angalizo:
1.Swali namba 2 linategemea majibu ya swali namba 1.
2. Vivyo hivyo kitini cha maswali namba 3 kinnategemea majibu ya swali namba 2.
3. Halafu tongozo la kibabe linategemea mazingira na ufundi wa mtongozaji.
4. Soma novel upate ufundi.
 
Asante mkuu kuhusu michano hiyo
 
Back
Top Bottom