Michano ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke

Michano ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke

Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.

Mara therathini anakataa
Ila mara thelathini anaweza kukubali
 
Piga pamba Kali .....kuwa na sex body ....kama langu dp hapo👆👆
 
Haujui wimbo ulio bora dhahiri, haujui ushairi au mstari ujaukariri..

Haujui giza haujui baridi, au mbu walionighasi wakati nakusubiri...

Haujui kupenda moyo wako hewa, wote tumejifunza ila mwenzangu umechelewa...

Kaa kimya hauna hata haki ya kusema, upuuzi unaofanya sio ushujaa ni kilema...

Natamani upate ki mister pengine, kikuumize kama ulivyo waumiza wengine...

Unaumwa mama hata kwa matibabu hautapona, sio dhahabu naijua dhahabu nikiiona...

Kuvimba kwako hakutavunja miamba, ipo siku utajua kulinga si afya...

Utatafuta upendo na utazikuta siasa, utaelewa inavyouma pindi unapofanywa wa ziada...

Kutojibu jumbe za simu sijui ndio kula njama, kudanganya mahali ulipo umeshavuka zama...

Kwa huo ushenzi ni zamani upo nyuma mama, unapodhani ni ujanja nakuonea huruma sana...

Eti queen, queen hawezi choropoa mimba, ungekufa kwa ngoma kinacho kuokoa kinga...

Unajirusha sana itakukatikia kamba, unazubaa na uzee utakukutia njia panda...

Unanuka sana unanitia kichefu chefu, nimepoteza muda umenirudisha nyuma step...

Tunda huishia tumboni likianzia kwenye mbugu, mama nimeshindwa sasa nawaachia walimwengu....


Kutokujua kupenda si ujanja ni MLEMAVU
 
I meant pesa mkuu
Msimuliaji: ni nini kilikujia akilini mara ya kwanza ulipomuona kibabu?

Binti: mmmh pesa, suti aliyovaa, gari anayoendesha vyote vilionesha kua anapesa

Msimuliaji: ina maana haukujali vitu vingine?

Binti: hapana, umri background yake, kazi yake havinihusu, as long as ana pesa
 
Msimuliaji: ni nini kilikujia akilini mara ya kwanza ulipomuona kibabu?

Binti: mmmh pesa, suti aliyovaa, gari anayoendesha vyote vilionesha kua anapesa

Msimuliaji: ina maana haukujali vitu vingine?

Binti: hapana, umri background yake, kazi yake havinihusu, as long as ana pesa
Kibabu kina pesa mbaya 😀 eti uanze kuangalia pamba na sex body aah wee. 🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Kibabu kina pesa mbaya 😀 eti uanze kuangalia pamba na sex body aah wee. 🏃‍♀️🏃‍♀️
Binti akaweka pozi matata, kibabu akaona huu ni msosi akaja

Binti akamkonyeza kibabu, kibabu akajibu, kibabu akafungua pochi binti akifungua zipu

Binti akavua nguo zake za mwili akideka, akimuacha yule kibabu tajiri akitweta

Hakujali kuitwa malaya hakuona haya kwa maana akili yake iliwaza pesa. akathibitisha kibabu anasumu za kutupa, alikua na mvi kuonesha kua umri ni mkubwa

Akajisemea kibabu anafaa kua baba yangu, ni ajabu kuona anapiga hatua kwa machangu

Akaendelea kuwaza kwamba pengine hana mke, kwamba ndio maana huu utamu anaufata nje

Au mkewe ni mvivu utamu anaupata nusu, akaacha kuwaza baada ya kugundua hayamuhusu

Binti akalikabidhi tunda, ilikua shughuli kamili shahidi kuta

Alijituma kuigiza furaha ilipobidi, aishinde dhiki maana babu alimuahidi bunda

Binti akaweka mashauzi kistaa mpaka, kibabu akaenda round kadhaa hata...vyumba vya jirani wote walishtuka kuskiza babu akitoa sauti za raha

Na sisi mashahidi tulikuwepo, na hii ndio inafanya hii ahadithi iwe spesho...binti aliwaza leo hakukumbuka jana na upeo wake haukumrushusu kuitabiri kesho
 
The way that you walkin', the way that you talkin',You're the one I wanna spend this night with,Tryna get in them draws and bang it out 'til the morning.
 
Back
Top Bottom