[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mdanganye tu mwenzioPiga pamba Kali .....kuwa na sex body ....kama langu dp hapo[emoji115][emoji115]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mdanganye tu mwenzioPiga pamba Kali .....kuwa na sex body ....kama langu dp hapo[emoji115][emoji115]
[emoji16][emoji16][emoji16]atakuwa kamaanisha dafu...,msamiat ...dough ....ndo nin
Oa kwanza.Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.
Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
Mtu km huyu usimshauri kuoa maana akili yake Bado Sana,utamkomaza tu.Oa kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kilainishi ni mkwanja a.k.a ngawira!Kama huna mkwanja jifungie tu gheto kama mimi.
[emoji23][emoji23]Tafuta mayai viza sita yakaange na kitunguu saumu na hoho kidogo piga kutwa Mara tatu na chukua zima changanya kwenye mafuta ya nywele upake kila unapoenda kwa demu utakuja kunishukuru
Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke.
Mkuu hii ni michano ya kuwaimbisha ama kutusuta? Ahsante lkn😀Binti akaweka pozi matata, kibabu akaona huu ni msosi akaja
Binti akamkonyeza kibabu, kibabu akajibu, kibabu akafungua pochi binti akifungua zipu
Binti akavua nguo zake za mwili akideka, akimuacha yule kibabu tajiri akitweta
Hakujali kuitwa malaya hakuona haya kwa maana akili yake iliwaza pesa. akathibitisha kibabu anasumu za kutupa, alikua na mvi kuonesha kua umri ni mkubwa
Akajisemea kibabu anafaa kua baba yangu, ni ajabu kuona anapiga hatua kwa machangu
Akaendelea kuwaza kwamba pengine hana mke, kwamba ndio maana huu utamu anaufata nje
Au mkewe ni mvivu utamu anaupata nusu, akaacha kuwaza baada ya kugundua hayamuhusu
Binti akalikabidhi tunda, ilikua shughuli kamili shahidi kuta
Alijituma kuigiza furaha ilipobidi, aishinde dhiki maana babu alimuahidi bunda
Binti akaweka mashauzi kistaa mpaka, kibabu akaenda round kadhaa hata...vyumba vya jirani wote walishtuka kuskiza babu akitoa sauti za raha
Na sisi mashahidi tulikuwepo, na hii ndio inafanya hii ahadithi iwe spesho...binti aliwaza leo hakukumbuka jana na upeo wake haukumrushusu kuitabiri kesho
........sure an ....kila nikienda beach ...lazma nirud na no za pisi kalii😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mdanganye tu mwenzio
ahaaaaaaa . Vip nlickia una ka covid .12..😂😂😂 unaendleaje[emoji16][emoji16][emoji16]atakuwa kamaanisha dafu
......mkuu.pamba Kali iz directly proportional with pesa.....I meant pesa mkuu
Kwahyo hawa vijana wameamua kukutongoza hapa hapa jukwaan..kweli nmekubali...dihUnataka ujaribu kutuma pesa mkuu?[emoji3]
Vijana wa siku hizi ni tabu tupu mkuu😒Kwahyo hawa vijana wameamua kukutongoza hapa hapa jukwaan..kweli nmekubali...dih
Aah sometimes siyo mkuu, kwani hatujui kama hadi pamba huwa mnaazima? Mnagongea kwa washkaji😀......mkuu.pamba Kali iz directly proportional with pesa.....