Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
.......baasiii. Yaishe😂😂😂Aah sometimes siyo mkuu, kwani hatujui kama hadi pamba huwa mnaazima? Mnagongea kwa washkaji😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.......baasiii. Yaishe😂😂😂Aah sometimes siyo mkuu, kwani hatujui kama hadi pamba huwa mnaazima? Mnagongea kwa washkaji😀
.....hatare mkuuHahahaha noma sana
Sawa mkuuNi kwel pesa ndio kila kitu lkn jaribu pia kuchek muonekano wako girls yoyote ukimwita anachochek first ni appearance yko ulivovaa sura yko simu yko viatu vyako etc kisha akija jaribu kuwa straight on point ukiishiwa mistar weka bridge omba namba akijikologa mwaga upupu sifia akileta ujot mwambie umeona bpra umueleze tu apo apo umempenda we apo ushamalizq kaz yko cheza na feedback
Huenda ikawa ana mwenyewe using,ang,anie sana utakuja tatuliwa marindaWakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.
Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
Usijar mkuu endeleza game kwa nguvu zote siku moja utarudi na ukimwi[emoji16]........sure an ....kila nikienda beach ...lazma nirud na no za pisi kalii[emoji23][emoji23]
Covid . 12 gani Tena jmn!???[emoji848][emoji849]ahaaaaaaa . Vip nlickia una ka covid .12..[emoji23][emoji23][emoji23] unaendleaje
......nackia ndo ulikuwa unaumwa. 😅😅Covid . 12 gani Tena jmn!???[emoji848][emoji849]
Haujui wimbo ulio bora dhahiri, haujui ushairi au mstari ujaukariri..
Haujui giza haujui baridi, au mbu walionighasi wakati nakusubiri...
Haujui kupenda moyo wako hewa, wote tumejifunza ila mwenzangu umechelewa...
Kaa kimya hauna hata haki ya kusema, upuuzi unaofanya sio ushujaa ni kilema...
Natamani upate ki mister pengine, kikuumize kama ulivyo waumiza wengine...
Unaumwa mama hata kwa matibabu hautapona, sio dhahabu naijua dhahabu nikiiona...
Kuvimba kwako hakutavunja miamba, ipo siku utajua kulinga si afya...
Utatafuta upendo na utazikuta siasa, utaelewa inavyouma pindi unapofanywa wa ziada...
Kutojibu jumbe za simu sijui ndio kula njama, kudanganya mahali ulipo umeshavuka zama...
Kwa huo ushenzi ni zamani upo nyuma mama, unapodhani ni ujanja nakuonea huruma sana...
Eti queen, queen hawezi choropoa mimba, ungekufa kwa ngoma kinacho kuokoa kinga...
Unajirusha sana itakukatikia kamba, unazubaa na uzee utakukutia njia panda...
Unanuka sana unanitia kichefu chefu, nimepoteza muda umenirudisha nyuma step...
Tunda huishia tumboni likianzia kwenye mbugu, mama nimeshindwa sasa nawaachia walimwengu....
Kutokujua kupenda si ujanja ni MLEMAVU
MlemavuTiltle ya ilo goma mkuu nimetokea kuyaelewa ayo ma punch
Mlemavu
YesYa dizasta vina?
Umedanganywa mchana peupe peeeh[emoji1787][emoji1787]......nackia ndo ulikuwa unaumwa. [emoji28][emoji28]
1. Dada habari yako, hujambo?Wakuu hebu tujaribu kupeana maujanja ya kuwaimbisha watoto mpaka waeleweke make kuna watoto wengine wazinguaje unamfata mpaka mara therathini lakini bado kakaza kamba.
Kwa walio pitia magumu kuwapata watoto mpaka wakalegeza vikwazo tupieni michongo yenu hapa.
......😂😂😂Umedanganywa mchana peupe peeeh[emoji1787][emoji1787]