Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana...Neno statistics ni shida Kwa wengi
Tivokutana badala ya tulivyokutana!Kuna jamaa yangu tivokutana tu akaniuliza aisee bro mbona unaumwa umekonda nini?[emoji23]
Alikuwa mkurya wa Tarime huyo lasimaNaongeza bumusi kwenye tairi ya pikipiki.
Bumusi-pumzi
[emoji23][emoji23]tivokutana=tulivokutanaKuna jamaa yangu tivokutana tu akaniuliza aisee bro mbona unaumwa umekonda nini?[emoji23]
[emoji23] [emoji23] lasima= lazimaAlikuwa mkurya wa Tarime huyo lasima
Ebu jarb kulitamka Mara 5 kwa harakaharaka uone km unaweza...Neno statistics ni shida Kwa wengi