michapio iliyonivunja mbavu nawe weka yako tucheke

michapio iliyonivunja mbavu nawe weka yako tucheke

Mwingine kwenye group la familia badala ya kusema Kuna wanawake akasema **** wanawake..
 
Mwingine ni mtangazaji wa WASAFI FM anaejiita aliyah! alichokichapia siku ya interview ya dudu baya anakijua yeye mwenyewe(tafuta hiyo video YouTube ili ucheke naww[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16])
 
mwalimu wetu wa hisabati alisema kesho mchukue log tufanye maswali badala kusema kesho mchukue fourfigure
 
Back
Top Bottom