I will take both, ila nasubiri mvua mwisho wa mwezi huu in shaa AllahMbegu ya pemba ipo,Hii unavuna baada ya miaka 3 .Lakini pia ipo Africantall ,unaanza kuvuna baada ya miaka 8
Boss tunakutumia kwenye basi kwa uaminifu mkubwa. Lakini pia ninataraji kuja Dar siku za usoni naweza kuja na package yako. Naomba tuwasiliane zaidiMimi nahitaji miti ifuatayo
1.Strawberry
2.Mparachichi
3.Mpera
4.Mzeituni
Location nipo Dar es salaam,je nitaipataje mkuu?
naomba nikuulize mkuu,hivi minazi inaweza kuota kanda ya ziwa ?
Karibu sana Morogoro lakini karibu pia SUA tukuhudumie boss. Tutakuwa bega kwa bega katika kufikia malengo yako.Nishachukuwa namba zako tayari vizuri ni kwamba mwezi ujao nna matarajio ya kija Morogoro lengo kuu ni kuwekeza kwenye ardhi hasa Mashamba so sitotaka yakae bure i hope itanisaidia katika ushauri wa kilimo na mambo mengine
Mwanza mna branch au mwakilishi?Karibu sana Morogoro,lakini karibu pia SUA tukuhudumie boss.Tutakuwa bega kwa bega katika kufikia malengo yako.