Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
- Thread starter
- #41
Boss ukinunua miche zaidi ya 50 ya papai unapata punguzo, badala ya sh 3500 unauziwa kwa 2500. Lakini nitakuunganisha na HQ nina amini watakupa punguzo kubwa zaidi.Nahitaji miche 780 ya papai, je nitapata kwa bei gani kwa mche?
Na usafiri utagharimu bei gani hadi kibaha pwani? na ni kwa usafiri aina gani?
Na nikihitaji wataalam wenu wa SUA kuja kuiipanda itagharimu bei gani?
Nashukuru kwa kuleta uzi huu. Tujenge Taifa.
Kuhusu usafiri tunasafirisha kwa njia ya mabasi. Na kwa Kibaha gharama za usafiri ni sh 10000(elfu 10).
Kuhusu watalaamu kuja kufanya layout na kukupandia miche shambani kwako, huduma hii ipo boss, gharama yake ni kuanzia sh 300,000(laki 3) .
Kwa maelezo zaidi naomba tuwasiliane, niko available 24/7. Karibu sana boss.