INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Miche ya papai ipo boss wangu.Na mvua zinaendelea.karibu sana
 
Dah kwakweli nitakaribia namingoni mwa mbegu nitakazozihitaji nihizo zilizonitoa nitahitaji hizo zilizonitoa ushamba..Mbeya zinakubali lkn
boss ,star fruits na giant passion zipo za kutosha.Na hali ya hewa ni rafiki,karibu
 
Kaka nachukua namba yako manake ndio maana kusafisha msitu hekali 30 kbt nitaanza kupanda mwezi wa 2 kama una group la whatsap la kilimo cha matnda niunge.
karibu
 
Sina lengo la kuingilia biashara yako mkuu..so sorry.
Ila mimi ni muumini saa wa sera na falsafa za JK Nyerere na Comrade Thomas Sankara.
Hope kama umewasoma utajua naongelea nini...
Who feed you....
Una lingine zaidi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…