Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miche ya papai ipo boss wangu.Na mvua zinaendelea.karibu sanaNahitaji miche 780 ya papai, je nitapata kwa bei gani kwa mche?
Na usafiri utagharimu bei gani hadi kibaha pwani? na ni kwa usafiri aina gani?
Na nikihitaji wataalam wenu wa SUA kuja kuiipanda itagharimu bei gani?
Nashukuru kwa kuleta uzi huu. Tujenge Taifa.
Mkuu nitakutafuta nahitaji sana miche hiyo nipo Mwanza ,nitakutafuta kwa namba zako hapo,Muda mwema mkuuKaribu sana
Hii maeneo ya njombe,makete,iringa inakubali?View attachment 1627774
Vanila,mmea ambao uchavushaji wake hufanywa na binadamu na sio wadudu😊
Mbegu za vanila sh 3000
Vanilla iliyooteshwa kwenye kiriba sh 5000