INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Komamanga inastawi vizuri mazingira gani?
Komamanga hustawi zaidi katika mikoa ya Pwani, yaani DSM, Tanga, Mtwara ambako huko kuna vipindi virefu vya mvua, Joto na ardhi ina unyevunyevu lakini pia hakuna vipindi virefu vya jua.
 
Nahitaji miche 780 ya papai, je nitapata kwa bei gani kwa mche?
Na usafiri utagharimu bei gani hadi Kibaha Pwani? Na ni kwa usafiri aina gani?
Na nikihitaji wataalam wenu wa SUA kuja kuiipanda itagharimu bei gani?

Nashukuru kwa kuleta uzi huu. Tujenge Taifa.
 
Boss tunakutumia kwenye basi kwa uaminifu mkubwa.Lakini pia ninataraji kuja Dar siku za usoni naweza kuja na package yako.Naomba tuwasiliane zaidi
Naomba ukija Dar na mimi uniletee
Nahitaji mti wa Peach 2, apple 2, strawberres minne
 
Kipi ni kipindi kizuri kupanda miche ya minazi na mipapai?
Minazi na papai unaweza kupanda muda wowote ila tu huduma ya maji iwe ya uhakika. Papai na Minazi huhitaji maji kwa wingi. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…