mkuu kwasasa tumeacha kuzalisha miche ya muda mfupi sababu kuna changamoto zimejitokeza.Tutazalisha tena pindi changamoto hizo zitakapo tatuliwa.Tunaomba radhi kwa hilo.ya pemba ina kimo gani mkuu.. niko interested ... nahitaji minazi mifupi ile ..
Mkuu tende zinakubali mazingira gani?
Hizi ni za kienyeji? inaanza kutoa matunda baada ya muda gani?
Ahsante baada ya kumaliza uzi wote nimepata majibu.Hizi ni za kienyeji? inaanza kutoa matunda baada ya muda gani?
Asante sana,ngoja nitayalishe shamba tuongee.mikoa yenye joto,na udongo usiotunza maji.Tende zinastawi vizuri kwenye mikoa kama Singida,Dodoma na mikoa ya ukanda wa Pwani.
Please msaaada kabla mtu hajaanda mbegu boraVipi vanilq inastawi kweri mikoa ipi haswa tabora na kigoma
vanila inastawai kwenye miko yenye mvua za wastani,na joto la nyuzi joto 21-30Vipi vanilq inastawi kweri mikoa ipi haswa tabora na kigoma
vanila inastawai kwenye miko yenye mvua za wastani,na joto la nyuzi joto 21-30Vipi vanilq inastawi kweri mikoa ipi haswa tabora na kigoma
Nataka anza kilimo cha mapapai kwa ajiri ya biashara. Unanishaurije hapa ?vanila inastawai kwenye miko yenye mvua za wastani,na joto la nyuzi joto 21-30
Pia eneo lako liwe na udongo wa tifutifu
Eneo lako liwe na kivuli wa asilimia 60
Mikoa inayostawi vanila ni Kagera,Morogoro,Tanga,Kilimanjaro,Arusha