INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

habari kiongozi, hivi miche ya pilipili manga mnayo na ukanda huu wa pwani kama bagamoyo inastawi?
 

asante mkuu kwa feedback hi,ninafurahi kukuhudumia.
 

Miche hii huyu mkuu aliinunua mwezi Nov mwaka 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…