Eka moja utahitaji miche 68 kwa space ya 8*8m endapo hutachanganya na zao lingineTiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne"[emoji56][emoji56] na kalamu nyeusi na nyekundu.
macadamia nuts huuzwa zikiwa zimekausha na hukamuliwa mafuta pia.Tiyari nimeshanunua na counter book "kwaya nne"[emoji56][emoji56] na kalamu nyeusi na nyekundu.
macadamia nuts huuzwa zikiwa zimekausha na hukamuliwa mafuta pia.
Mafuta yake yanatumika kupikia,baking,urembo n.k
1kg ya macadamia iliyokaushwa huuzwa sh 20000,na wafanya biashara hupendelea soko la nje zaidi.
pitia post ya 919 bossAsante mkuu.. na mche unachukua miaka mingapi mpaka kuanza kuzaa!?
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
SNAP Jkama kuna swali sijakujibu,nikumbushe mkuu
Naomba jibu la hapa mkuuView attachment 1952728
Hatua gani za kuchukua endapo majani mche/miche yataanza kukauka?
Naomba jibu la hapa mkuu
kukauka kwa majani kunaweza kusababushwa naNaomba jibu la hapa mkuu
Unaweza kutumia njia zifuatazo kulingana na chanzo cha tatizo.Naomba jibu la hapa mkuu
Kwanza hongera kwa hatua hiyo mkuu.Lily Tony habari,
Ninaaandaa shamba sasa hivi huko pwani, lakini wenyeji wanasema niliandae kwa awamu yani nimekata msitu, nichome sasa halafu nikwatue na jembe la mkono bila kutoa visiki mpaka mwakani
Sasa wenyeji wanasema nipande muhogo. Ila mbegu yao ni ile inaitwa MSAADA, hii inachukua muda kidogo mpaka miezi 8 na wanasema sitakiwi kutumia mbolea ya aina yoyote la sivyo nitaharibu mazao yangu yaani ardhi tayari yenyewe inajiweza
Sasa em nishauri na mimi nitumie muhogo mbegu ya msaaada au nitumie hizi hybrid??
Na vipi nitumie mbolea au niache tu??
Pia ningependa kujua bei ya miche ya minazi nahitaji, miche ya miembe mbegu fupi dodo na kunyonya, ndizi aina yoyote ile
Shukran sana [emoji1666]
Kwanza hongera kwa hatua hiyo mkuu.
Pili,kuhusu aina ya mbegu nzuri ya mihogo,nikushauri uonane au upate ushauri wa kina kutoka kwa mtaalamu wa kilimo waliobase kwenye mazao.,kitengo chetu(Horticulture) tuna deal na miche/kilimo cha matunda.
Lakini kama eneo lako lina rutuba/mbolea,hakuna haja ya kuongeza mbolea ila kama itabidi kufanya hivyo,basi tumia mbolea ya samadi
tatu,minazi tunayo,Na mbegu tuliyonayo sasa ni African tall,bei ni sh 7000,discount ipo endapo utahitaji miche kuanzia 50.
nne,miche ya embe ipo na tuna aina zifuatazo
1.Kent
2.Alphonso
3.Dodo
4,Embe tang
5.Tommy
6.Red indian
7.Apple mango
Mche wa embe ni sh 2000
tano, tuna aina mbili za migomba
A.Migomba ambayo ndizi zake ni kwaajili ya tunda(Mtwike,Kimalindi,Kisukari)
B.Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya chakula(mzuzu,mshale,M/tembo,Jamaica,Uganda green,William)
Migomba,mche sh 3500