INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Lakini pia ni muhimu kupuliza dawa pindi tu miche unapoanza kutoa maua ili kuua wadudu ambao wanatanga mayai kwenye maua na mwisho wadudu wanazaliwa
Ni Kwa namna gani naweza kuzuia parasites kwenye miti ya matunda?
 
SUA mnatuangusha miche yenu sijui mmeifanyaje ikianza kuzaa matunda yanaliwa na wadudu kwa ndani hayaliki na mengine yanaota fungi yakiwa yangali kwenye miti
 
SUA mnatuangusha miche yenu sijui mmeifanyaje ikianza kuzaa matunda yanaliwa na wadudu kwa ndani hayaliki na mengine yanaota fungi yakiwa yangali kwenye miti
Kwanza pole Sana kwa changamoto kiongozi,
lakini pili sina hakika kama hiyo miche nilikuhudumia Mimi au vinginevyo.Nina andika hivi,sababu wateja wote ambao nimewahudumia huwa ninafanya follow up kila baada ya muda fulani,either baada ya mwezi 1 au 2 ili kuweza kujua maendeleo na changamoto zao.

Lakini pia,hata wao wamekuwa free kunitafuta muda na Saa yoyote pale tu wanapoanza kuona tatizo kwenye mche/miche Yao.

Kwa utaratibu huu,imetusaidia Sisi kutatua matatizo mapema Kabla ya madhara makubwa kutokea.

Hatumuuzii tu mteja miche na kumtekeleza,hapana,baada tu ya kupoke parcel yake,mteja anapata muongozo kisha follow up ya mara kwa mara.

Sina hakika kama aliekuuzia ulifanya mawasiliano nae ili kujua tatizo ni nini.
 
mpapai dume huwa unatoa vimaua lakini maua hayo hayatoi matunda,huwa yanaishia kuanguka

Mpapai jike ni mpapai ambao unatoa maua kisha tunda.

Sijui kama maelezo yangu yamejitosheleza mkuu,Ila nadhani umepata mwanga kidogo
 
je katika stage bado haujatoa mauwa naweza kuubaini na kuteketeza mapema
 
je katika stage bado haujatoa mauwa naweza kuubaini na kuteketeza mapema
Ukiwa kwenye early stage ngumu kugundua mkuu.

Ila sikushauri kuuteketeza Kwani unasaidia kwenye uchavushaji wa maua kama tu mipapai jike pia ipo around
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…