INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Msimu wa mvua unakaribia na kwa baadhi ya maeneo yameanza kupata mvua.
Karibu upande miche ya matunda,kivuli na mbao pamoja nasi
 
Wapendwa kama kuna mteja alinunua miche kwangu hivi karibuni(mwezi 10-11) na bado hajaenda Ofisi za Abood Bus,Shekilango kuchukua parcel yake, please tuwasiliane au afike Shekilango akachukue parcel yake.
 
Minazi ya muda mfupi ipo.
Apple kwasasa hatuna Ila naweza kukupa contacts za mdau ambae anayo miche
Nahitaji miche 50 ya migomba, kimalindi ndefu, nipo marangu, moshi. Kama una miche mingine ya migomba inayozaa mikungu mikubwa na mirefu, nijulishe pia.
Nitumie gharama ya kununua na kusafirisha hadi njia panda ya himo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…