INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Tuna miche ya bottle palm large size na small size.

large size ni sh 12000
Small size sh 7000
 
wapendwa wateja,
Nina wakumbsha kuwa unaponitumia majina na namba ya simu ya anaepokea parcel,hakikisha majina hayo yanaendana na kwenye kitambulisho chako chochote ambacho utakitumia kukionyesha kwenye ofisi ya basi/kampuni husika pindi utakapoenda kuchukua parcel.

Hii ni kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza pindi utakapoenda kuchukua parcel.

Hii ni especially kwa wateja wetu wanaopatikana mkaa wa Dar-es-salaam.,kampuni tunayotumia kusafirisha parcels kwenda Dar hawataki janja janja,wamenyooka
 
Heri ya pasaka.
bado tunaendelea kutoa huduma bora,uaminifu wa hali ya juu,
Karibuni
 
Unaweza kuotesha kwenye udongo wowote na ladha ikabaki ileile?
rejea comment namba 1135 kupitia Uzi huu mkuu,hapo nimeelezea kuhusu minazi,hali ya hewa,Aina ya udongo n.k
Kuhusu mabadiliko ya ladha kulingana na Aina ya udongo,sina hakika zaidi juu ya hilo
 
Karibuni sana maboss zangu, honestly niliwamiss sana.
Miche bado tunayo ya kutosha na hali ya hewa inaruhusu,simu ziite matajiri
 
Mkuu vipi unayo miche ya blueberries?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…