Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
- Thread starter
- #521
Apple hustawi kwenye mikoa yenye joto la wastani,mvua ya kutosha,ardhi yenye rutuba ya kutosha.Apple zinastawi zaidi na kutoa matunda mazuri kwa ardhi ya aina gani mkuu, na pia mikoa ipi inafaa kupanda Apple
Mikoa ambayo inafaa kwa apple ni kama Mbeya,Arusha,Iringa,Morogoro(baadhi ya wilaya),Tanga na mikoa /wilaya zenye hali ya hewa kama hiyo.