Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani strawberry [emoji526]
Mkuu habari vip miche ya Ndimu inapatikana ? Embe dodo ya kienyeji?View attachment 1862451
utaalamu kama huu unapatikana SUA(Horticulture) tu.Karibuni
Michungwa iliyopo kwenye vitalu vyetu inaanza kutoa matunda baada ya miaka 2-3 boss,kuhusu hiyo ya mwaka 1 na nusu sina idea boss.Kuna mtu kaniambia kuna michungwa ya mwaka mmoja na nusu hiv ni kwel!?
🙏🏻🙏🏻🙏🏻Michungwa iliyopo kwenye vitalu vyetu inaanza kutoa matunda baada ya miaka 2-3 boss,kuhusu hiyo ya mwaka 1 na nusu sina idea boss.
Ila limao na ndimu ndio huanza kutoa matunda baada ya mwaka na nusu.
Hapa dar mizeituni na kokoa vinafaaa?.mizaituni inaanza kutoa matunda baada ya miaka 3