mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Hiii kitu unavuna baada ya muda gani?.hapa dar inakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii kitu unavuna baada ya muda gani?.hapa dar inakubali?
Kwa mazingira ya dar aina gani ya ndizi inafaa zaidi kulima?SHIMBA YA BUYENZE
karibu kwa maswali na maelezo zaidi
Niko kigamboni, majibu ya maswali yako yata nifaaaHongera kwa kazi nzuri,
1) Ni dawa gani zinatumika wakati wa kukuuza hii miche lets say kama Papai ,strawbery,maembe,Pasion,Parachichi na mingineyo?
2) Ni matunda ya aina gani hushambuliwa na wadudu mara kwa mara hivyo kuhitaji uangalizi maalum?
3) Je kwa maeneo kama Bagamoyo na Kigamboni unashauri matunda ya aina gani yenye kustawi kwa 100% ukianzia na Ya muda mfupi na muda mrefu?
Nawasilisha
Aina zote unaweza kulima.Kwa mazingira ya dar aina gani ya ndizi inafaa zaidi kulima?
Cocoa inastawi kwenye ukanda wa baridi na ukanda wa joto pia,Hapa dar mizeituni na kokoa vinafaaa?.
Hapa dar unaweza fahamu soko la kokoa lilipo?
ShukraniCocoa inastawi kwenye ukanda wa baridi na ukanda wa joto pia,
Kokoa ya ukanda wa pwani zinawahi kuiva ila matunda ni machache
Kokoa ya ukanda wa baridi,matunda mengi ila zinachelewa kuiva.
Kuhusu Zaituni,ndio inastawi
Asantee sanaaAina zote unaweza kulima.
Unaweza kupanda migomba ambayo ndizi zinafaa kwa chakula tu na migomba ambayo ndizi zake zinafaa kwa matunda tu(kisukari,mtwike,kimalindi)
Ila tu hakikisha eneo lako lina maji ya kutosha kwani kilimo hiki kinahitaji maji mengi,
Pia mbolea ya kutosha na unashauriwa kutumia mbolea za kienyeji.
Nipo Dodoma, wanatuma kwa sh ngapi miche2?Kwakweli nimefurahia huduma yenu mlinitumia Dodoma, miche ilipofika ndo mkanambia nilipe kwa kweli muwaaminifu sana na miche yangu yote IPO bomba kesho nitapiga pic nikuonyeshe mkuu
Parachichi hass mnazo?Na Dodoma zinaweza kustawi?Hali ya hewa ni rafiki kabisa kwa kilimo cha miche ya muda mfupi.
Miezi 6 unaanza kula Papai na Embe
Miaka 2 unaanza kula Chungwa
Mwaka 1 na nusu unaanza kula Mapera
Miaka 2 na nusu unaanza kula parachichi
Miaka 3 (Mbegu ya pemba) na miaka 8(africantall) unaanza kuvuna nazi.
Karibuni sana
ndio boss,Parachichi Hass zipo.Parachichi hass mnazo?Na Dodoma zinaweza kustawi?