INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Hongera kwa kazi nzuri,

1) Ni dawa gani zinatumika wakati wa kukuuza hii miche lets say kama Papai ,strawbery,maembe,Pasion,Parachichi na mingineyo?

2) Ni matunda ya aina gani hushambuliwa na wadudu mara kwa mara hivyo kuhitaji uangalizi maalum?

3) Je kwa maeneo kama Bagamoyo na Kigamboni unashauri matunda ya aina gani yenye kustawi kwa 100% ukianzia na Ya muda mfupi na muda mrefu?

Nawasilisha
Niko kigamboni, majibu ya maswali yako yata nifaaa
 
Kwa mazingira ya dar aina gani ya ndizi inafaa zaidi kulima?
Aina zote unaweza kulima.
Unaweza kupanda migomba ambayo ndizi zinafaa kwa chakula tu na migomba ambayo ndizi zake zinafaa kwa matunda tu(kisukari,mtwike,kimalindi)
Ila tu hakikisha eneo lako lina maji ya kutosha kwani kilimo hiki kinahitaji maji mengi,
Pia mbolea ya kutosha na unashauriwa kutumia mbolea za kienyeji.
 
Hapa dar mizeituni na kokoa vinafaaa?.

Hapa dar unaweza fahamu soko la kokoa lilipo?
Cocoa inastawi kwenye ukanda wa baridi na ukanda wa joto pia,
Kokoa ya ukanda wa pwani zinawahi kuiva ila matunda ni machache
Kokoa ya ukanda wa baridi,matunda mengi ila zinachelewa kuiva.

Kuhusu Zaituni,ndio inastawi
 
Screenshot_2021-07-20-15-17-11-1.png
 
Cocoa inastawi kwenye ukanda wa baridi na ukanda wa joto pia,
Kokoa ya ukanda wa pwani zinawahi kuiva ila matunda ni machache
Kokoa ya ukanda wa baridi,matunda mengi ila zinachelewa kuiva.

Kuhusu Zaituni,ndio inastawi
Shukrani
 
Aina zote unaweza kulima.
Unaweza kupanda migomba ambayo ndizi zinafaa kwa chakula tu na migomba ambayo ndizi zake zinafaa kwa matunda tu(kisukari,mtwike,kimalindi)
Ila tu hakikisha eneo lako lina maji ya kutosha kwani kilimo hiki kinahitaji maji mengi,
Pia mbolea ya kutosha na unashauriwa kutumia mbolea za kienyeji.
Asantee sanaa
 
Kwakweli nimefurahia huduma yenu mlinitumia Dodoma, miche ilipofika ndo mkanambia nilipe kwa kweli muwaaminifu sana na miche yangu yote IPO bomba kesho nitapiga pic nikuonyeshe mkuu
Nipo Dodoma, wanatuma kwa sh ngapi miche2?
 
Hali ya hewa ni rafiki kabisa kwa kilimo cha miche ya muda mfupi.

Miezi 6 unaanza kula Papai na Embe

Miaka 2 unaanza kula Chungwa

Mwaka 1 na nusu unaanza kula Mapera

Miaka 2 na nusu unaanza kula parachichi

Miaka 3 (Mbegu ya pemba) na miaka 8(africantall) unaanza kuvuna nazi.
Karibuni sana
Parachichi hass mnazo?Na Dodoma zinaweza kustawi?
 
Kwa nini mnapenda ukisasa! Miche ya asili mnaitupa yenye dawa na lishe na kutuletea yenye magonjwa na wadudu
 
Asanteni sana wakuu kwa kuendelea kuniamini katika kuwapatia huduma hii.Kuwahudumia ni fahari yangu.
Karibuni tena na tena
0719527062/0757056472
 
Mara baada ya kununua miche tunakupa muongozo na ushauri ili kupata matokeo mazuri.
Si hivyo tu,lakini pia kila baada ya miezi 2 tunafanya follow up kwa mteja mmoja baada ya mwingine ili kuweza kujua maendeleo ya miche,hii inasaidia kutatua changamoto zinazoweza kujitokeza kabla tatizo halija leta madhara makubwa.

Tunatunza namba za simu za wateja wetu,hivyo ni vyema pia mteja utunze namba zetu ili tuweze kuwasiliana pale utakapo hitaji msaada.

"Serving you is my pleasure"
 
Back
Top Bottom