Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Boss, ningependa kujua miche ya limao inaingia mingapi kwa heka moja? Natanguliza shukraniunawezaje kutofautisha miche ifuatayo.
1.Mche wa limao
2.Mche wa Chungwa
3.Mche wa chenza
4.Mche wa ndimu
Sio discount tu,tunakuwa na bonus pia kwa anaechukua miche kuanzia 50
MACADAMIA NUTS
Utahitaji miche 35/acre endapo utachanganya na zao lingine.
Utahitaji miche 77/acre kama hutachanganya na zao lingine,kwa space ya 8*8
bonus zipo za aina tofauti tofauti kutegemea na idadi na aina ya miche unayonunua(kuanzia 50).
karibu sana mkuu
Asante Sana boss.196 kwa space ya 5*5m/acre.
karibu boss
Najipanga nakutafuta uniuzie Miche na ushauri. Nitakuchekpole kwa changamoto mkuu.
1.Hakikisha unapewa muongozo wa namna ya kupanda miche kitaalamu,wengi huwa wanafanya makosa madogo madogo wakati wa kupanda miche na makosa haya ndio hupelekea kupata matokeo mabaya.
2.Kama eneo lako halina rutuba,hakikisha kwenye shimo,unaweka debe 1
nihitaji mche wa hili tundaView attachment 1673283
giant passion
Bonus! 🙄Nikichukua 50 napewa nini
Bonus! [emoji849]