INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

IMG_20210107_141126_061.jpg
 
pole kwa changamoto mkuu.
1.Hakikisha unapewa muongozo wa namna ya kupanda miche kitaalamu,wengi huwa wanafanya makosa madogo madogo wakati wa kupanda miche na makosa haya ndio hupelekea kupata matokeo mabaya.
2.Kama eneo lako halina rutuba,hakikisha kwenye shimo,unaweka debe 1
Najipanga nakutafuta uniuzie Miche na ushauri. Nitakuchek
 
karibuni sana niwahudumie.0719527062/0757056472
 
Back
Top Bottom