Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp Mizeituni, Nyanya mti (Tamarilo), Mkunazi (Jujube), Mshelisheli?Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.View attachment 1557232
katika hiyo list yako mkuu,tuna Mizeituni tu,hiyo mingine hatuna.Vp Mizeituni, Nyanya mti (Tamarilo), Mkunazi (Jujube), Mshelisheli?
Ahsante tutawasiliana.katika hiyo list yako mkuu,tuna Mizeituni tu,hiyo mingine hatuna.
Mizeituni tuliyonayo ni ile ambayo zaituni zake ni kwa ajili ya kula(tunda) sio kwa ajili ya mafuta