INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.

View attachment 1557232

View attachment 1557234

View attachment 1557237

View attachment 1557239

View attachment 1557240

View attachment 1557242

View attachment 1557243

View attachment 1557244

View attachment 1557246

View attachment 1557247

View attachment 1557248

View attachment 1557249

View attachment 1557250

View attachment 1557251
Ni GM sio ?
 
Boss minazi mifupi imekuwa na changamoto kadhaa. Bado tunazitatua, ikiwa tayari nitakucheck
Lakini naweza kukuunganisha kwa mdau fulani yeye alikuwa nayo
Basi sawa. Nitajitahidi kujisalimisha ndani ya mwaka huu kwenye hivyo vitalu vyenu.
 
FB_IMG_1658611691824.jpg
dawa hii ni nzuri kwa miche inayoangusha maua naatunda

Karibu tukuhudumie miche mbalimbali ya matunda,utapata elimu na maelekezo ya kitaalamu bure kabisa mara baada ya kukuhudumia.
 
Nahitaji miche ya Matunda yafuatayo:

1) Dandelion
2) Burdock
3)Sarsaperillar
4) Pavana
5) Teosinte
6) Kuska
7) Peaches
8) Watercress
9) Parsley
10)Soursop
 
Nahitaji miche ya Matunda yafuatayo:

1) Dandelion
2) Burdock
3)Sarsaperillar
4) Pavana
5) Teosinte
6) Kuska
7) Peaches
8) Watercress
9) Parsley
10)Soursop
Mi najua Parsley ni majani majani ya kiungo. Ukienda kwa waotesha maua
 
Nahitaji miche ya Matunda yafuatayo:

1) Dandelion
2) Burdock
3)Sarsaperillar
4) Pavana
5) Teosinte
6) Kuska
7) Peaches
8) Watercress
9) Parsley
10)Soursop
Kwenye list yako kuna spices,herbs, maua na matunda.Lakini kwa bahati mbaya aina zote hizo hatuna mkuu
 
Nahitaji miche ya Matunda yafuatayo:

1) Dandelion
2) Burdock
3)Sarsaperillar
4) Pavana
5) Teosinte
6) Kuska
7) Peaches
8) Watercress
9) Parsley
10)Soursop
Kwa case ya hizo spices kuna kitengo cha mboga mboga na matunda.Hapo utapata
 
•Minazi inastawi vizuri katika maeneo yenye mvua nyingi au mabonde yenye unyevu mwingi.
•Kiangazi kisichozidi miezi 3
•Udongo wa tifutifu au kichanga
•Joto angalau 25-30C
•Pia inahitaji mwangaza wa jua wa kutosha. Hivyo basi, minazi hustawi zaidi kwenye mikoa ya ukanda wa Pwani na Mikoa ya kusini. Tofauti na maeneo hayo basi huwezi kupata matokeo mazuri.
mbeya mjin naweza kupanda minaz??
 
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.

Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.

Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.

View attachment 1557232

View attachment 1557234

View attachment 1557237

View attachment 1557239

View attachment 1557240

View attachment 1557242

View attachment 1557243

View attachment 1557244

View attachment 1557246

View attachment 1557247

View attachment 1557248

View attachment 1557249

View attachment 1557250

View attachment 1557251
Nilinunua miche toka kwenu mwaka 2017 inaandamwa sana na magonjwa ni lazima kuipiga dawa tatizo ni nini?
Miche ambayo haijafanyiwa budding inastawi hata bila kupigwa dawa na haina magonjwa kwanini?
 
Back
Top Bottom