Michelle akiri kuvuta bangi na 'boyfriend' wa ujanani kabla ya kukutana na Barack Obama

Michelle akiri kuvuta bangi na 'boyfriend' wa ujanani kabla ya kukutana na Barack Obama

Ganja iko poa sana mimi sijui wanaisemea vibaya watu ambao hata moshi wake hawajai uvuta.
 
Michelle amesoma na kuhitimu Havard university tena kwa wastani mzuri best kitivo cha sheria lkn alikuwa mvuta bangi

Obama kasoma havard ila naye kakiri alikuwa mvuta bangi mzuri kipindi yupo college

Halafu kuna watu wana criticize bangi inasababisha ukichaa,haifai wakati imezalisha marais.
Yupo jamaa havuti lakini maamuzi yake balaa
 
yule kichaa wetu akivuta haki ya nani ataenda ghalani kunya juu ya korosho
 
Tatizo la wabongo wanataka kufananisha high class ya bangi wanayovuta Obama, na makushabu ya hapa!....aaah wapi lazima bangi ikubangue!
Bangi za bei rahisi nuksi tu kwanza zinatia uvivu alafu mwili unakuwa mzito.Kwanza wanaovuta high grade na wanaovuta shabu ni kada mbiki tafauti kabisa.
 
Macho ya yule mama kweli yanamanisha anachokisema,ila ashukuriwe Mungu kwa kumuokoa na hivyo vitu maana angefikia hatua ya kuwachapa makofi wakwe zake kama first lady mstaafu wa Zimbabwe
 
ndio maana siku hizi anaongea ujinga mara kwa mara
 
Michelle amesoma na kuhitimu Havard university tena kwa wastani mzuri best kitivo cha sheria lkn alikuwa mvuta bangi

Obama kasoma havard ila naye kakiri alikuwa mvuta bangi mzuri kipindi yupo college

Halafu kuna watu wana criticize bangi inasababisha ukichaa,haifai wakati imezalisha marais.
I can see your point 😂
 
Hata George Walker Bush alikiri kutumia hii kitu ;Ndumu,Msuba!
 
Wabongo wanavuta bangi kama wanamkomoa mtu

Wenzetu wanavuta kwa starehe
 
Michelle amesoma na kuhitimu Havard university tena kwa wastani mzuri best kitivo cha sheria lkn alikuwa mvuta bangi

Obama kasoma havard ila naye kakiri alikuwa mvuta bangi mzuri kipindi yupo college

Halafu kuna watu wana criticize bangi inasababisha ukichaa,haifai wakati imezalisha marais.
Na wabongo wavuta bangi ni aje?
 
Ndio uzuri wa watu wa mbele, hawajui kuficha waliyo pitia, bongo sasa mtu akifanikiwa ndio utasikia "tangu utotoni nilikuwa nampenda Mungu nilikuwa nashinda kwenye nyumba za ibada na kusoma kwa bidii" hawataki kusema walipita kwenye ulimwengu..
 
Back
Top Bottom