Michelle akiri kuvuta bangi na 'boyfriend' wa ujanani kabla ya kukutana na Barack Obama

Huyo angekuwa First Lady wa kibongo angetakakuonekana malaika hana makosa.

Bongo mtihani wetu mgumu, fisadi aliyeuza nyumba za serikali kinyume na utaratibu eti ndiye rais naye anaongoza vita dhidi ya ufisadi sasa.

Sasa Mzee wa kazi wewe unashauri nini kifanyike ili sisi wabongo tuwe wakweli
 
Ukweli unakuja na maendeleoya kiuchumi na kiteknolojia tu.

Kuna story moja ya kitambo, wachezaji wa timu ya mpira ya Tanzania walienda Misri kwenye mechi, kwenda Misri, wakawa wanafanya shopping, wakashangaa dukakubwa halafu halina mtu kuwaangalia, wakatakakuiba, wengine wakakatazana.

Walivypotokahapo wakaambiwa bora hamjaiba, mngeiba mgelitia taifa aibu sana, kwa sababu duka zima limejaa camera, unaweza kuona hakuna mtu anayekuangalia, kumbe kuna camera kila sehemu na watu wamekaa vyumbani huko wanawaangalia tu.

Katika mfumo ambao teknolojiaimeendelea, watu hawana budi kusemaukweli tu.

Utabisha kwamba hukupita barabarani kukatiza red light? Unapewa video evidence inaonesha kila kitu.

Kitu kingine, ni kila mwananchi kupenda ukweli.

Juzi kuna Jaji alikuwa confirmed hapa US, Justice Kavanaugh.Nilishangaa sana washikaji wake wa chuo walimchoma kwamba huyu jamaa anadanganya, alikuwa mlevi mbwa tu chuo hata hawezi kuwa anakumbuka mambo kama anavyosema.

Kibongobongo mshkaji wakowachuo anataka kuwa jaji wa mahakama kuu, lazima ujipoendekeze umpambe.

Hata marais wastaafu wanashindwa kumkemea rais wa sasa, rais pekee aliyeweza kumkemea rais aliyemfuatia alikuwa Nyerere.

Sisi utamaduni wetu umejengwa katika misingi ya unafiki. Hata kupanda cheo mtu anapanda si kwa sababu ya uwezo, bali kwa unafiki na kujua kuwaramba nyayo mabosi.

Katika mfumo kama huo, kuwa msema kweli nikujihatarisha.

Ndiyo maana unaona watu waongo waongo, na viongozi hawaandiki vitabu vya maisha yao, wanaogopa wataandika uongo mwingi.

By the way, nilisikia Kikwete anaandika kitabu cha maisha yake hapo NYU, sijui kimeishia wapi.

Nataka nisikie atadanganya vipi ma scandal yote yaliyotokea utawala wake.

Mzee wa kazi nakubaliana na hoja yako kwamba maendeleo ya kiuchumi na teknolojia ni chachu ya kutufanya tuwe wakweli kwa kiasi flani,
Na swala la kujikomba hili ni tatizo ambalo nahisi labda tufe wote wazaliwe wengine ndiyo watabadilika labda ila kiwango chetu cha unafiki ni zaidi ya uwezo wa Lionel mess
 
Nafikiri busara ni kuweka wazi yale tuliyopitia huko nyuma ili kufundisha kizazi cha sasa na kijacho adili njema, umuhimu wa kuwa wa kweli nk.
 
Unavuta bangi halafu unagombania ugali na wadogo zako, Lazima uwe Moko.
 
Michelle amesoma na kuhitimu Havard university tena kwa wastani mzuri best kitivo cha sheria lkn alikuwa mvuta bangi

Obama kasoma havard ila naye kakiri alikuwa mvuta bangi mzuri kipindi yupo college

Halafu kuna watu wana criticize bangi inasababisha ukichaa,haifai wakati imezalisha marais.
Matumizi ya bangi angalau mara moja au mbili kwa siku huimarisha akili,mishipa ya ubongo na mzunguko wa damu kwenye moyo,viongozi wengi duniani (hata mwenyekiti wetu✌na namba 1 wetu na yule wa kule kwa majirani zetu ni wadau) kinachosababisha watu wawe vichaa kwa ajili ya bangi ni matumizi yaliyopita kiasi yani kuvuta bangi nyingi kwa siku hii hupelekea akili kuwa nyingi kuliko kiwango cha uwezo wa ubongo hivyo kupelekea kuchanganyikiwa
 
Tatizo la wabongo wanataka kufananisha high class ya bangi wanayovuta Obama, na makushabu ya hapa!....aaah wapi lazima bangi ikubangue!
Bangi high class!?
Ndio ikoje hiyo Kiongozi?
Kuna vitu inaongezewa?
 
Tatizo la wabongo wanataka kufananisha high class ya bangi wanayovuta Obama, na makushabu ya hapa!....aaah wapi lazima bangi ikubangue!
Acha kupotosha umma,Bangi niliyovuta Queens New York ndiyo hiyo hiyo ninayovuta msasani,
 
Matumizi ya bangi angalau mara moja au mbili kwa siku huimarisha akili,mishipa ya ubongo na mzunguko wa damu kwenye moyo,viongozi wengi duniani (hata mwenyekiti wetu✌na namba 1 wetu na yule wa kule kwa majirani zetu ni wadau) kinachosababisha watu wawe vichaa kwa ajili ya bangi ni matumizi yaliyopita kiasi yani kuvuta bangi nyingi kwa siku hii hupelekea akili kuwa nyingi kuliko kiwango cha uwezo wa ubongo hivyo kupelekea kuchanganyikiwa
If that being the case let me try once.
 
Hamna mbona viongozi wengi wakubwa wanavuta then fresh tu, Mimi mwenyewe napiga sana hamna anaejua
Kwa nini unatumia kitu chako kwa siri siri mkuu, jiachie tu ilimradi mamlaka za nchi zisikushike, mengineyo don mind mkuu, live your life, live it to the fullest.
 
Back
Top Bottom