Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Obama alivuta bangi akiwa kapuku tu kwenye ujana wake...Hivi bangi huwa ina Class ? Kwani bangi inapitia process zipi mpaka kutumika ? Zaidi ya kuchuma jani na kumoka ?Tatizo la wabongo wanataka kufananisha high class ya bangi wanayovuta Obama, na makushabu ya hapa!....aaah wapi lazima bangi ikubangue!
Nami hoja yangu ipo hapo kwenye grades za bangi, binafsi najua mmea ukishachumwa shambani, unakaushwa vizuri watu wanaanza kutumia.Obama alivuta bangi akiwa kapuku tu kwenye ujana wake...Hivi bangi huwa ina Class ? Kwani bangi inapitia process zipi mpaka kutumika ? Zaidi ya kuchuma jani na kumoka ?
Mlikuwa mna enjoy sana mkipiga mjani pamoja?
ukitaka kuanza uje nikunyongee kitu cha olkokolaaa au kashmir ngaramtoniKwanini nisivute bangi Mimi?
Wanyamwezi wanapenda ukweli, bora mtu akubali kosa tu anasamehewa, kuliko kujifanya mtakatifu, halafu ukaonekana muongo.
Kwanza weed iko legal majimbo mengi sana US. West Coast yote kula msiba legal.
Na Barack Obama kashabwia mpaka cocaine.
Where You Can Legally Smoke Weed in the USA, Mapped
Where You Can Legally Smoke Weed in the USA, Mapped
Huyo angekuwa First Lady wa kibongo angetakakuonekana malaika hana makosa.Aisee
Sema kuwa mkweli ni jambo zuri ila huku kibongo bongo mtihani wa kusema ukweli tumeshafeli kitambo
Bangi za bei rahisi nuksi tu kwanza zinatia uvivu alafu mwili unakuwa mzito.Kwanza wanaovuta high grade na wanaovuta shabu ni kada mbiki tafauti kabisa.
Hii thread wanaochangia wengi siyo masmoker mkuu nawaangalia 2, ni kuchuma kukausha, kuroll, kusmokeObama alivuta bangi akiwa kapuku tu kwenye ujana wake...Hivi bangi huwa ina Class ? Kwani bangi inapitia process zipi mpaka kutumika ? Zaidi ya kuchuma jani na kumoka ?