Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Pres+Barack+Obama+SignsCaregivers+Veterans+4uJ2VBrgBvEl.jpg

 
uyu jamaa hana maana. sikumkubali kabisa tangu alipoingia madarakani, hata kabla ya hapo, pale alipoanza tu kampeni. hana lolote.
 

MUNGU AKUPE RAHA GANI KWENYE MAISHA ZAIDI YA MKE ALIYE BORA,NI LAZIMA UTAMUONA MZURI TU.
JAMAA MAISHA KESHA YAPATIA.
INANIKUMBUSHA
BENI MKAPA NA MKEWE,KWENYE HADHARA WOTE WALIKUWA WANANUNIANA,.MARA HUYU KAUMIA MGUU,MAMA KAUMIA MKONO,HALAFU WOTE WANAONEKANA HIVYO KWA WAKATI MMOJA.[lazima waliumizana wale]
Hillary Clinton anakwepa busu ya mumewe mbele ya hadhara.
 
wanapendezeana,,,,,,michele yupo juu huwezi amini she is aproaching 40 ama she is in her 40's?
 
Hilo gauni la juu kabisa la Michelle nimelizimia sana.
 
Back
Top Bottom