Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Ndoa ni kuvumiliana na kuheshimiana kila mtu atawataminieni tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michelle naye ana wivu sana!
...Huyu Christiane Amanpour ananikumbusha enzi Amerika ilivyoivamia Iraq alikuwa yuko front kumwaga ma-news!! Watu na profesheno zao bana hadi raha dah!
First lady kwa kupanga mavazi ananifurahisha sana. Anapendeza ndio sababu na mmewe hakai mbali naye kila mara yuko naye na tabasamu mdomoni.
Wa kwetu ni kuvaa vitenge weeeeeeeeeeeeee eti ni utamaduni. Utamaduni unatulazimisha kuvaa nguo aina moja tu? akibadilisha kavaa hijab!
Angalia hata kucheza dance kiongozi wetu anacheza na mademu wengine wa kwake hawezi hata kutembea naye maana hana mvuto. :heh:
Weeee! mipaka ipi? Angalia post namba 27 nambie wa kwetu ni lini aliwahi kutembea naye hivyo? ahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!! Huo ndio ukweli.jifunze kuwa na mipaka!:angry:
![]()
Give credit where it is due, Michelle anajipenda sana, na anajua sana kuvaa.