Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini unadhani nguo kama hii angavaa mama wa kwanza wa JMT ingekuwaje? Reaction ya wadau?
Naenda kushonesha na mimi nguo kama hiyo sijui nitapendeza kama yeye...................😉
...Hili nalo neno.....Huyu mama kapendeza.
Ila kusema ukweli, I hate "wigi". Yaani mimi mwanamke hata kama kapendeza vipi..nikisha muona ameweka wigi kichwani yaani naishiwa kabisa hata hamu ya kumuangalia. Na mimi huo ndo ugomvi wangu na mama Obama. She looks cute and elegant..but when I look at her head..basi naishiwa kabisa hamu ya kumuangalia.......
I really HATE it..sema tuu basi inabidi uheshimu maamuzi ya watu...I wish wanawake mngejua mnavyopendeza na nywele zenu za kawaida.
Masanja,
Huyu mama kapendeza.

Kwanini unaliogopa Masanja .?
FL yaani kweli sijui kwa nini, lakini yaani nikishamuona mdada ameweka hii kitu kichwani..hata kama nilikuwa nataka nirushe neno...nakimbia. I simply hate it. Ndo maana nikimuangalia mtu kama mama Tibaijuka..I really feel proud of her. Yaani nyewele zake ni za mama mwafrika kabisa! Kudos to her and others who are like that!
Kwa nini mtu uweke wigi? Labda unieleze wewe!