Huyu mama kapendeza.
Ila kusema ukweli, I hate "wigi". Yaani mimi mwanamke hata kama kapendeza vipi..nikisha muona ameweka wigi kichwani yaani naishiwa kabisa hata hamu ya kumuangalia. Na mimi huo ndo ugomvi wangu na mama Obama. She looks cute and elegant..but when I look at her head..basi naishiwa kabisa hamu ya kumuangalia.......
I really HATE it..sema tuu basi inabidi uheshimu maamuzi ya watu...I wish wanawake mngejua mnavyopendeza na nywele zenu za kawaida.
Masanja,
Unadhani mwanamke aliyevaa wigi atapungukiwa nini usipomuangalia, au usipokuwa na hamu ya kumuangalia, au atafaidika nini mwanamke huyo unapomuangalia? Kwa mfano Mrs Obama au Maria pale posta mpya.