Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Hivi huyu wakwetu (JK) vekesheni yake anaifanyiaga wapi..... :lol: :lol:
He is always on vacation....! Hajawahi kuwa bize...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu wakwetu (JK) vekesheni yake anaifanyiaga wapi..... :lol: :lol:
Hivi huyu wakwetu (JK) vekesheni yake anaifanyiaga wapi..... :lol: :lol:
Duh Michelle Hana Tumbo Kama Hajazaa!!! LOH Imetulia
![]()
Kuwa mlinzi wa huyu mama ni shughuli pevu, huo urefu tu sijui ni ft ngapi.
Umekoma ubishi kwa nini AB mbona cha kawaida tu ..sema nikivaa mie sionekani lakini kwa vile kavaa yeye ndio hivyo tena
...Huenda anataka tuone vimisuli vyake sijui anafanya mazoezi ya goju-ryuu huu mama! ilitakiwa na shemeji yetu Salma apate ushauri sidhani kama kuna mazoezi yoyote anayofanya yule bibie anajinenepea tu!!:rant::rant:Na hilo bega la upande mwingine lingefunikwa ingekuwa bomba sn.
Na hilo bega la upande mwingine lingefunikwa ingekuwa bomba sn.
...Huenda anataka tuone vimisuli vyake sijui anafanya mazoezi ya goju-ryuu huu mama! ilitakiwa na shemeji yetu Salma apate ushauri sidhani kama kuna mazoezi yoyote anayofanya yule bibie anajinenepea tu!!:rant::rant:

First Lady wetu TzMazoezi ya Huyu First Lady siyo ya kawaida! Huamka saa 11 alfajiri kila siku na kufanya mazoezi ( gym), kisha huwaandalia wanawe mwenyewe ( kuwatayarisha kwa ajili ya kwenda shule) pamoja na shughuli nyingine.Habweteki kwa vile ni first lady eti na ndio maana inalipa kwenye muonekano wake.MANYAMA UZEMBE HAPO HAYANA NAFASI.