Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Mazoezi ya Huyu First Lady siyo ya kawaida! Huamka saa 11 alfajiri kila siku na kufanya mazoezi ( gym), kisha huwaandalia wanawe mwenyewe ( kuwatayarisha kwa ajili ya kwenda shule) pamoja na shughuli nyingine.Habweteki kwa vile ni first lady eti na ndio maana inalipa kwenye muonekano wake.MANYAMA UZEMBE HAPO HAYANA NAFASI.

Nimeipenda hii WOS
 
mazoezi my foot, mwanamke wa Tanzania anaamka saa kumi kwenda kubeba maji na kusanya kuni na mtoto mgongoni, itakuwa huyu anaeamka kufanya vimazoezi ndani ya whitehouse? Americans are obsessed with the presidency ndo maana kila kitu about it kinafanywa big deal. Hiyo nguo uswahilini ya kawaida tu, lakini a US presidency akivaa big freaking deal. Salma anapendeza kuliko Michelle in ma book
 
First Lady wetu Tz
Huamshwa mara tatu ndio huamka
Kila kitu anafanyiwa kasoro usafi wa mwili km kuoga,haja
Hakuna cha mlo maalum bali chochote kitakachokuwepo mezani basi ni kanyaga twende
Suala la mazoezi sahau milele

Wabongo Bwana ... Acha kutukukuza uzunguni na kudharau kwako. We unajua ratiba za Salma? Mama mchapakazi yule! Nani amuamshe? Unajua hata kwa familia yake kuna watu wangapi?
Tusiponde kila kitu kwa kuwa kinafanyawa na kiongozi. Salma anavaa kiafrika na anapendeza. Unene ni asili ya Waafrika... haya mambo ya 'kumaintain' yametoka huko huko magaharibi. alafau sisi tunaiga!!
 
joseph said:
First Lady wetu Tz
"Huamshwa mara tatu ndio huamka
Suala la mazoezi sahau milele"

Hahaha Mkuu umenichekesha kuwa Bi mkubwa inabidi haamshwe mara tatu ndo hashituke! Toba!
But anyway the fact remained that, wakina mama wengi wa bongo walio na nafasi zao mijini hawafanyi mazoezi, the same goes to men. Watu wengi wanahusudu akitoka kazini apite kwenye nyama choma akamate lager zake kuliko akitoka kazini direct mazoezini japo for one hr. Sie kwetu kufanya mazoezi ni dalili za kufirisika na kukaa bar masaa kwa bia za misaada ni dalili ya kuwa unazo! Hizi ndo sifa za kijinga watu wengi wameshazisemea wala hazi-itaji kuelezewa sana.
 
Mazoezi ya Huyu First Lady siyo ya kawaida! Huamka saa 11 alfajiri kila siku na kufanya mazoezi ( gym), kisha huwaandalia wanawe mwenyewe ( kuwatayarisha kwa ajili ya kwenda shule) pamoja na shughuli nyingine.Habweteki kwa vile ni first lady eti na ndio maana inalipa kwenye muonekano wake.MANYAMA UZEMBE HAPO HAYANA NAFASI.

Hmmm hapa unatia chumvi sasa. Mazoezi ya huyu mama ni ya kawaida kabisa. Hafanyi kitu extraordinary katika routine yake. What she has going on is her genetic body type. Just by a quick look I can tell she is a cross between an ectomorph and a mesomorph just like Usain Bolt, the Jamaican sprinter. You can even tell that by looking at her brother who is a head basketball coach at one of the Universities in the US. Look at his physique and then look at Michelle...you will see that their genetic body type runs in their family.

Sasa sikatai kuwa mazoezi ni muhimu lakini genetics is always the prime determinant on how a person looks like.
 
mazoezi my foot, mwanamke wa Tanzania anaamka saa kumi kwenda kubeba maji na kusanya kuni na mtoto mgongoni, itakuwa huyu anaeamka kufanya vimazoezi ndani ya whitehouse? Americans are obsessed with the presidency ndo maana kila kitu about it kinafanywa big deal. Hiyo nguo uswahilini ya kawaida tu, lakini a US presidency akivaa big freaking deal. Salma anapendeza kuliko Michelle in ma book

Amah...ina maana Salam anabeba maji?kwani DAWASCO wamekata supply ikulu?
 
Halafu huyu mama ni wa kawaida sana....yaani kawaida mno. Sio mzuri sana wala nini. Sema tu kwa vile ni mke wa raisi wa Marekani ndio maana watu wanababaika. Mimi huyu hata nikikutana naye barabarani hawezi kunigeuza shingo. Sura yake kwanza wala sio nzuri and on top of that she's flat chested....

Sielewi fixation ya watu inatoka wapi....hasa huyu AB Ticha.....na usikute kaweka hiyo heading makusudi kum irritate mtu fulani....lol
 
Hmmm hapa unatia chumvi sasa. Mazoezi ya huyu mama ni ya kawaida kabisa. Hafanyi kitu extraordinary katika routine yake. What she has going on is her genetic body type. Just by a quick look I can tell she is a cross between an ectomorph and a mesomorph just like Usain Bolt, the Jamaican sprinter. You can even tell that by looking at her brother who is a head basketball coach at one of the Universities in the US. Look at his physique and then look at Michelle...you will see that their genetic body type runs in their family.

Sasa sikatai kuwa mazoezi ni muhimu lakini genetics is always the prime determinant on how a person looks like.

NN...mbona kaka yake manyamamanyama kibao...hii theory yako ni kweli?ona hapa

28hltat.jpg
 
NN...mbona kaka yake manyamamanyama kibao...hii theory yako ni kweli?ona hapa

Angalia height....

Vilevile kaka yake naye ni cross kati ya mesomorph na endomorph.....

Michelle ni 5'10 kaka yake ni 6'4 au 6'6......unaona pattern hapo?
 
No Mama Brian hiyo ndo aina ya kivazi chenyewe Fashions na inatakiwa iendelee kuwa hivyo.

Ya FirstLady iknow ni fashion lakini nasemea kwaumbile lake,but i dont know really ni kwa mtazamo wangu. Ila kivazi kimetulia sana.
 
Mazoezi ya Huyu First Lady siyo ya kawaida! Huamka saa 11 alfajiri kila siku na kufanya mazoezi ( gym), kisha huwaandalia wanawe mwenyewe ( kuwatayarisha kwa ajili ya kwenda shule) pamoja na shughuli nyingine.Habweteki kwa vile ni first lady eti na ndio maana inalipa kwenye muonekano wake.MANYAMA UZEMBE HAPO HAYANA NAFASI.

NADHANI WENGI TUNAFANYA KAZI ZAIDI YA HIZI ZILIZOTAJWA NA WEWE WALA HATUBWETEKI LAKINI MANYAMA UZEMBE YAPO TU. WASIO NA MANYAMA UZEMBE WAMENYIMWA TU NA MOLA NA SIO UHODARI WAO WA KUJI KEEP. SALMA KIKWETE UNAPENDEZA SANA JINSI ULIVYO UNAONEKANA KI BEBISHI SANA WALA USIJE PRESSURE YA KUFANANA NA MICHELE KWANI WEWE NI SALMA NA YULE NI MICHELE LAZIMA KUWE NA TOFAUTI
MAZOEZI YAKE SI YA KAWAIDA KWA KIGEZO GANI ULICHOTUMIA? SI KAWAIDA KIVIPI? BE MORE SPECIFIC
mix with yours
 
Halafu huyu mama ni wa kawaida sana....yaani kawaida mno. Sio mzuri sana wala nini. Sema tu kwa vile ni mke wa raisi wa Marekani ndio maana watu wanababaika. Mimi huyu hata nikikutana naye barabarani hawezi kunigeuza shingo. Sura yake kwanza wala sio nzuri and on top of that she's flat chested....

Sielewi fixation ya watu inatoka wapi....hasa huyu AB Ticha.....na usikute kaweka hiyo heading makusudi kum irritate mtu fulani....lol
SEMA WEWE KIAZI........mie sijawahi kuona uzuri wa michele...namuona ana muonekano wa kimasculini sana na huwa sielewi misifa inayomwagwa hapa inatoka wapi .....ila huwa na kaa kimya kwani najua ni mojawapo ya colonial legacy
mix with yours
 
NADHANI WENGI TUNAFANYA KAZI ZAIDI YA HIZI ZILIZOTAJWA NA WEWE WALA HATUBWETEKI LAKINI MANYAMA UZEMBE YAPO TU. WASIO NA MANYAMA UZEMBE WAMENYIMWA TU NA MOLA NA SIO UHODARI WAO WA KUJI KEEP. SALMA KIKWETE UNAPENDEZA SANA JINSI ULIVYO UNAONEKANA KI BEBISHI SANA WALA USIJE PRESSURE YA KUFANANA NA MICHELE KWANI WEWE NI SALMA NA YULE NI MICHELE LAZIMA KUWE NA TOFAUTI
MAZOEZI YAKE SI YA KAWAIDA KWA KIGEZO GANI ULICHOTUMIA? SI KAWAIDA KIVIPI? BE MORE SPECIFIC
mix with yours

unaweza kuwa na ukweli katika maelezo yako....lakini hapa kidoogo ume-boogie.......
 
NADHANI WENGI TUNAFANYA KAZI ZAIDI YA HIZI ZILIZOTAJWA NA WEWE WALA HATUBWETEKI LAKINI MANYAMA UZEMBE YAPO TU. WASIO NA MANYAMA UZEMBE WAMENYIMWA TU NA MOLA NA SIO UHODARI WAO WA KUJI KEEP. SALMA KIKWETE UNAPENDEZA SANA JINSI ULIVYO UNAONEKANA KI BEBISHI SANA WALA USIJE PRESSURE YA KUFANANA NA MICHELE KWANI WEWE NI SALMA NA YULE NI MICHELE LAZIMA KUWE NA TOFAUTI
MAZOEZI YAKE SI YA KAWAIDA KWA KIGEZO GANI ULICHOTUMIA? SI KAWAIDA KIVIPI? BE MORE SPECIFIC
mix with yours

Taratibu ndugu...siku comment on Mma Salma.I just commented on Michelle!!!
Manyama uzembe hata mimi ninayo sana hivyo siwezi kujitukana mwenye ( sic!)....Usikurupuke
 
Halafu huyu mama ni wa kawaida sana....yaani kawaida mno...Sema tu kwa vile ni mke wa raisi wa Marekani ndio maana watu wanababaika.... Sura yake kwanza wala sio nzuri and on top of that she's flat chested....

Sielewi fixation ya watu inatoka wapi....hasa huyu AB Ticha.....l
... I tell you I'am sickened by this wanton obsession with US presidency. Its time to exalt ours

204018726_47aD7-M.jpg

kikwete+20.JPG
Wetu analipa zaidi, kashiba shiba ana real estate ya pa kubusu na kukumbatia, sio scrawny arse Michelle
kikwete+20.JPG

8D6U7737.JPG

na mavitenge yake ni poa kuliko vi bichkoma vya Michelle, what the heck
kikwete2.jpg
kikwete2.JPG
Kikwete+akikata+keki.JPG

v7t81z.jpg

homeboy's girl is premium next to Baraka's by hundreds of orders of magnitude​
kikwete+20.JPG
 
Back
Top Bottom