Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

nakumbuka niliporudi nyumbani baada ya miaka miwili toka ughaibuni mwanangu kipindi hicho anamiaka mitatu niliitumia likizo yangu kucheza naye muda mwingi kwa kumtengenezea magari ya maboksi na kumnunulia magari ya midori kisha kucheza pamoja kwakweli kipindi nilichoondoka kurudi ughaibuni zikuweza amini pale nilipomuona anatoa machozi ya kuninililia na kila mara alikuwa anamlazimisha mama yake anipigie simu ili niongee naye hadi niliporudi nyumbani baada ya kumaliza mwaka mwingine mmoja siku hiyo nakumbuka aliponiona ndani ya uwanja wa ndege sehemu ya kusubiria mizigo alimcholopoka mama yake na kunikimbilia ndani sitakaa nisahau hii na kwakweli imenifanya niishi naye kwa upendo na sasa anajisikia huru zaidi kuongea na mimi kuliko rafiki yake yeyote yule kwenye huu umri wake wa miaka 15
 
mungu ambariki mama na baba yangu kwa kunifikisha hapa nilipo ni upendeo wao ndio ulio nifanya nizimie zaidi ya masaa matatu kwenye mazishi mungu waleze pema wazazi wangu, wazazi wa wanaJF na watz kwaujumla waliotangulia mbele za haki na uwabariki wale ambao bado wako hai uwape riziki amani na upendo kwa watoto wao. Uwaongezee umri wawe na maisha marefu ameni
 
hongereni mliopata mapenzi ya wazai wenu, mie baba hata simjui sura yake,
alikwepa majukumu ya kulea, ananiudhi sana sina hata hamu ya kumtafuta
 
hongereni mliopata mapenzi ya wazai wenu, mie baba hata simjui sura yake,
alikwepa majukumu ya kulea, ananiudhi sana sina hata hamu ya kumtafuta

Nakuhakikishia inalipa kabisa kuanza kumtafuta na kupata!! Kikubwa ni kuondoa chuki na hasira kwake...maana hali hizo zinafanya uuganike na watu wote wanaofanana naye... uwezekano hata wewe utafanana naye na unaweza kuwa kama yeye na kufanya mambo yote aliyokufanyia ....kama ni mwanamnke unaolewa na mtu kama huyo huyo na kuendeleza tatizo...jibu? rahisi ...DONT HATE HIM!!!
 
slide_9915_130674_large.jpg



slide_9915_130676_large.jpg
 


Michelle+Obama+Obama+Arrives+Back+White+House+JDyUg50NZIEl.jpg

President Barack Obama with daughter Sasha Obama and first lady Michelle Obama walks from Marine One on the South Lawn of the White House August 15, 2010 in Washington, DC. President Obama was returning from the Gulf Coast where he stayed in Panama City Beach, Florida with first lady Michelle Obama and their daughter Sasha for an overnight trip to the region which has been affected by the BP oil spill from the sinking of the Deep Water Horizon drilling platform.​


<!-- google_ad_section_end -->​
 
There are moments when a touch says a lot more than words...subtle!!!

slide_9915_130680_large.jpg
 
Nashindwa kuelewa. Hii sio mara ya kwanza occupant wa White House kuwa na watoto wadogo wa kike. Clinton alikuwa na Chelsea na Bush alikuwa na Jenna na Barbara. Hata Kennedy alikuwa na wanawe wadogo tu.

Na wote hawa maraisi waliwapenda vilivyo watoto wao. Lakini nyie huyu Obama mnamfanya kana kwamba ndio wa kwanza kuonyesha mapenzi kwa wanawe. Mbona Bush hamkumbandika hivi na mapacha wake?

Au ni kwa vile Obama ni chotara (sio mweusi kama ambavyo mngependa iwe) ndio maana mnaonyesha upendeleo na mhemuko wa ajabu? Angalia kwa mfano mkewe...yaaani ni mwanamke wa kawaiiiiiida sana. Yaani kawaida mno lakini mnavyomwongelea utadhania duniani ndiye mrembo pekee wakati mbele ya warembo hatii hata mguu.

Mnachekesha kweli nyinyi. Na subirini 2012 atakapobwagwa huyo Obama wenu...tayari nshaanza kusikia vilio vya "ubaguzi"....sasa sijui alichaguliwaje ktk nchi yenye wazungu zaidi ya asilimia 70 ya raia wake.

wewe bana ,haya ndio forum
 
Sure....that mean a lot..especialy when ur out there for the first time ur tendering ur proposal...sera..and those hands...dah...75% almost getting the deal.
 
Kilichonisababisha niweze kutofautisha mikono ....upi wa she/he ni uvaaji wa saa tu :becky:
 
There are moments when a touch says a lot more than words...subtle!!!

slide_9915_130680_large.jpg




Ab is there any prize if a person tells you whose arms are they? I think I know them but uniambie kama kuna zawadi ili nitaje.
 
Moment of silence....the spirit.....comes from within...
 
Kilichonisababisha niweze kutofautisha mikono ....upi wa she/he ni uvaaji wa saa tu :becky:

Nop mkuu otherwise ur eyes ziko na matege....kwani man hand differ with women there...seems jamaa ni mtu wa mazoezi..and strong see those misuli...
 
Back
Top Bottom