Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
mama Obama kapendeza ,aliyeanguka bahati Mbaya ..nampenda Whoop
Mama obama kama kawaida yake hawezi kukuangusha kwenye viwalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama Obama kapendeza ,aliyeanguka bahati Mbaya ..nampenda Whoop
mama Obama kapendeza ,aliyeanguka bahati Mbaya ..nampenda Whoop
Kawatembelea ninyi au sijaelewa mh
Katutembelea sisi hapa Detroit kuwapa confidence vijana chipukizi wa shule maana kumekua
mauaji kibao in the past month..hususan watoto wa shule. Kisha kukawa na Documentary moja
kwenye TV iliokua inaua jiji la Detroit.
Kwa hivyo alikuja na kina Magic na Spike Lee na Mkuu wa Sheria ili ku-mentor watoto wa
shule and give them something to look forward to.
Nadhani umenipata hapo mkuu.
Mkuu AB hukupata nafasi ya ku'photoka' naye?
I mean kupiga naye picha.
mrs obama is so cute jamani and she knows how to wear!