Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Michelle ni wa kawaida tuu... honestly...
but so far no body bits Queen Rania when it comes to elegance
![]()
Sawa kabisa Michelle ni wa kawaida tena kawaida sana tu. Siyo mzuri kihivyo wala nini. Sura yake siyo nzuri sana. She is just very very normal. Hawezi kabisa kugeuza shingo yangu nikipishana naye barabarani. Ni kwamba tu Tichaz ana fixation na huyu mama.
Halafu hata mavazi yake ni ya kawaida kabisa na yanayovaliwa na watu unaopishana nao mitaani kila siku. Nashangaa watu wanahemahema hapa oooh she's very beautiful...ooh she knows how to dress...mimi mbona naona anavaa kawaida tu kama the woman next door or the woman at the store?
Nadhani kwa vile tu ni mke wa raisi wa Marekani basi kuna kuwa na kaubabaikaji flani hivi. Kabla mumewe hajawa raisi hakuna mtu aliyekuwa anammaindi. Sikuwahi kusikia hata mara moja watu wakichambua eti kavaa sketi gani na ya nani au kavaa gauni gani. Lakini siku hizi hata akivaa ki sweater cha Ann Taylor inakuwa nongwa.