Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Michelle ni wa kawaida tuu... honestly...

but so far no body bits Queen Rania when it comes to elegance
queen-rania-4.jpg

Sawa kabisa Michelle ni wa kawaida tena kawaida sana tu. Siyo mzuri kihivyo wala nini. Sura yake siyo nzuri sana. She is just very very normal. Hawezi kabisa kugeuza shingo yangu nikipishana naye barabarani. Ni kwamba tu Tichaz ana fixation na huyu mama.

Halafu hata mavazi yake ni ya kawaida kabisa na yanayovaliwa na watu unaopishana nao mitaani kila siku. Nashangaa watu wanahemahema hapa oooh she's very beautiful...ooh she knows how to dress...mimi mbona naona anavaa kawaida tu kama the woman next door or the woman at the store?

Nadhani kwa vile tu ni mke wa raisi wa Marekani basi kuna kuwa na kaubabaikaji flani hivi. Kabla mumewe hajawa raisi hakuna mtu aliyekuwa anammaindi. Sikuwahi kusikia hata mara moja watu wakichambua eti kavaa sketi gani na ya nani au kavaa gauni gani. Lakini siku hizi hata akivaa ki sweater cha Ann Taylor inakuwa nongwa.
 
Wow! This mom is so cute kwa kweli!
She knows what to wear, where to wear and how to wear!
Congrats to her!
 
Ab you are fixated with this woman and I'm not putting it past you jacking off of her pictures...
 
Sawa kabisa Michelle ni wa kawaida tena kawaida sana tu. Siyo mzuri kihivyo wala nini. Sura yake siyo nzuri sana. She is just very very normal. Hawezi kabisa kugeuza shingo yangu nikipishana naye barabarani. Ni kwamba tu Tichaz ana fixation na huyu mama.

Halafu hata mavazi yake ni ya kawaida kabisa na yanayovaliwa na watu unaopishana nao mitaani kila siku. Nashangaa watu wanahemahema hapa oooh she's very beautiful...ooh she knows how to dress...mimi mbona naona anavaa kawaida tu kama the woman next door or the woman at the store?

Nadhani kwa vile tu ni mke wa raisi wa Marekani basi kuna kuwa na kaubabaikaji flani hivi. Kabla mumewe hajawa raisi hakuna mtu aliyekuwa anammaindi. Sikuwahi kusikia hata mara moja watu wakichambua eti kavaa sketi gani na ya nani au kavaa gauni gani. Lakini siku hizi hata akivaa ki sweater cha Ann Taylor inakuwa nongwa.
ni yale yale hau kuna mengine?
 
Kweli Michelle Obama anapendeza na ni mama wa ma -style lakini sio mrembo kiivyo labda vitoto vyake ndo vimechanganya mama na baba na kutoka Bomba
 
Obamas+Attend+Independence+Day+Festivities+YT_XN8C7pp_l.jpg

President Barack Obama (L) waves as he and first lady Michelle Obama stand on the balcony as families gathered for Independence Day festivities on the South Lawn White House July 4, 2010 in Washington, DC. The Obamas honored the families of military service members at a barbeque and called for the nation to celebrate civil rights and the spirit of America. <!-- google_ad_section_end -->
 
Obamas+Attend+Independence+Day+Festivities+VJj7SI1Eo3vl.jpg

President Barack Obama (L) and first lady Michelle Obama stand on the balcony as families gathered for Independence Day festivities on the South Lawn White House July 4, 2010 in Washington, DC

Obamas+Attend+Independence+Day+Festivities+J9chThCQsChl.jpg
 
Kabla ya kualika wageni ndani ya Whitehouse Mkulu na Mama walionekana wakirudi DC baada ya safri ndefu:

slide_8260_110159_large.jpg

slide_8260_110161_large.jpg

slide_8260_110164_large.jpg
 
Usafiri muhimu aisee!!

slide_8260_110166_large.jpg

Ni kweli huu usafiri si kiboko. Ab thanks a lot kwa pictures za jumba jeupe na nyingine ambacho huchoki kuzirusha now and then. Kuna kitu kimoja mimi na wewe tunashare nadhani, kumpenda Obama. I mean brother yuko smart na ana mapenzi ya kweli na wamerikani, nadhani hata republicans wanalijuwa hili ila tu mambo ya siasa tena unajuwa tena.Kikukweli mimi nina mkubali si kwa rangi bali for who he is. Ila kazi ya urais hasa wa US nadhani ni ngumu sana maana naona mshikaji anazeeka sana, may God help na austopishe huo uzee ambao naona unamnyemelea kwa kasi ya ajabu.

Kuna sehemu/picha umesema jamaa alikuwa anatoka safari ndefu na mama, wapi shopping nini? Kuna swali nikuulize sorry, hivi inakuwaje rais wa US anakuwa so free kiasi kwamba anaweza kwenda kanisani, shopping na kwingineko bila body guards wa karibu? I mean najuwa huwa wanakuwepo lakini sio so close kama huku Africa why? Then inakuwaje pia anapotoa say hotuba hakuna nyuma yake jitu lililokunja uso linaloitwa body guard? Thanks.
 
Bobby,
Kwa kujibu swali lako kuhusu bodyguards nadhani Afrika wengi ni show off tu. Obama ana ulinzi mkali na hata kabla ya kwenda kanisani
vijana huwa wameshafanya kazi yao. They keep a discreet distance asionekane kuwa ni hostage wao. Kwa viongozi wa Kiafrika wanapenda
kuonekana wamezungukwa na walinzi na wapambe in uniforms illi ku-show off tu. It seldom has nothing to do with their security.
 
Back
Top Bottom