ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
.............Tena bao kumi,kiasi uchaguzi upo nyang'a nyang'a!CCM badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walifikiri wanashindania umonitor wa darasa la nneNgoja wawekwe ndani kwanza hata wiki mbili. Nadhani wana hamu ya kula ugali wa bure.
Hii ni kauli chafu sanaTanzania imeshaamua.
Hakuna mwenye muda wa kupoteza wa kuandamana.
Waandamane wao na familia zao.
Sio kushawishi watoto wa watu kila siku kuumia kwa manufaa yao.
Haki haitafutwi haki inachukuliwa Si unakuwa tayari unamjua aliye shikilia haki yako , sasa unapenda kuitafuta wapi πView attachment 1615407
Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
Safi kabisa. Vyombo vya usalama vinafanya kazi nzuriView attachment 1615407
Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
πππππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walifikiri wanashindania umonitor wa darasa la nne
Wakajiajiri Si wanaonaga raha kutuambia tujiajiriiππππHuyo naye kaishiwa!
Anapinga matokeo kwa minajili gani?
Kwani kabla ya uchaguzi hakujua ambacho kingetokea?
Daah!Nchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huu kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.
2025 Tanzania bado hatujajua demokrasia na wabunge na madiwani wanapita bila kupingwa.
Kwani lazima tufanane na ugiriki ππNchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huu kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.
2025 Tanzania bado hatujajua demokrasia na wabunge na madiwani wanapita bila kupingwa.