Zanzibar 2020 Michenzani, Zanzibar: Maalim Seif akamatwa kwa kutaka kuongoza maandamano ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi

Zanzibar 2020 Michenzani, Zanzibar: Maalim Seif akamatwa kwa kutaka kuongoza maandamano ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi

Pole sana Maalim, usikate tamaa 2025 itafika soon. Umeboresha CV
 
Ulishawahi kujiuliza uyo anakupa wewe order ya kudhulu wengine kwann asifanye iyo dhulma yeye mwenyewe?!! Kwann awape order wewe na wenzako ya kudhulumu maisha ya waafrika wenzako?!! Siku ukipata hayo majibu.. basi utakuwa umejitambua!!
Andamana... Ndio utapewa JIBU
 
Nchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huo kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.

2025 Tanzania bado hatujajua demokrasia na wabunge na madiwani wanapita bila kupingwa.
Tuliwaambia tutawanyoosha sasa nafikiri mmejua watz siyo wa mchezo mchezo Lissu amejificha kijijini kwao na mkewe wanacheza YOPE!
 
Nawakumbusha wafuasi wa Maalim

"Tutayalinda, tutayaenzi na kuyapigania mapinduzi matukufu ya mwaka 1964", Kama noma na iwe noma.

Mapanga na kila aina ya Silaha ya kuyapigania iko tayari kila wakati
 
Wa Zanzibar wazalendo wamempuuza Babu madevu. Hivi kweli anadhani anaweza kushinda huo urais leo baada ya kuupigania tangu ujana wake?.
Nae Mandela aliipigania nchi yake kutoka ujana, mpaka alipoipata alikuwa kibabu. Ila mentality ya wapungufu wa fikra na akili kama nyie ndio mnaojirudisha nyuma. Milele mtamilikiwa kama mabuju maana mnajifanya mabuju!
 
Nchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huo kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.

2025 Tanzania bado hatujajua demokrasia na wabunge na madiwani wanapita bila kupingwa.
Ingia barabarani
 
Back
Top Bottom